Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afunga ndoa

Hangaika unavyohangaika ila mwishoni ukitaka kuoa kuwa makini sana upate mwanamke atakayeweza kuilea vizuri familia yako, mambo ya weupe, kalio kubwa, sura nzuri, miguu ya bia, kiuno nyigu, rangi ya mtume, ngozi ya malaika havisaidii kitu chochote...wale wanaoitwa wadada wa mjini always hutumika tu kama kipozeo cha nafsi huwa hawaolewi hao abadani, at last wanawake wenye akili tena hao wa kawaida ndiyo huwa mama wa watoto.
 
Mwamba amekula life wee, sasa ndo kaoa. Hii nitaiga mie.
 
Wale wazee wa kataa ndoa jambo hili ni haramu kwao, tena la kuchukiza kabisa
 
Mheshimiwa wa awamu ya tatu alikuwa na mke?
 
Dah umeongea jambo la msingi sana wakati nipo kwenye ubora wangu nilibahatika kuwapitia hao madada wa mjini baada ya hapo nikaoa nimetulia tuli na familia yangu.
 
Duh...JJ Mnyika alikua bachela mpaka umri huo anaokaribia kustaafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…