Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

Pesa pesa pesaaa
 
Machoco ya LUMUMBA yote yanamwagoka hapa fatilia comment utayajua tu jinsi yanavyobana pua
 
Sawa mkuu
 
Tanzania kwa sasa hakuna upinzani wa kweli, wapinzani wa kweli walikuwa Mtikila na Malima tu.
Kwa muono wako,yajayo yanasikitisha,mkijitahidi sirikali mseto,uchaguzi ujao na ole wenu muikaribie chadema,sharti la kwanza kiongozi mkuu atoke kwetu🤪
 
Wafuasi wake wanawabariki Wazungu! Rejea mwenye jina la dawa! Utakuwa umejichanganya!
Wazungu ndiyo waanzilishi wa nchi pendwa Tanganyika,na bila Wazungu nisingesoma,kwa hiyo Wazungu wana faida katika maisha yangu.Wameleta elimu,wameleta Serikali,wameleta hospitali,wameleta reli na barabara,wameleta umoja,wameleta fedha,wameleta dini safi na wameleta ubinadamu.Mimi ni nani nimchukie mzungu ambaye ananifanya nionekane msomi.
 
Unatakaje wewe Chadema ife au? Halafu? Matatizo ya nchi hii utatusemea wewe? Msijidanganye bila upinzani nchi hii isingekuwa hata na flyover Wala miradi mwingine yoyote unavyoiona. Msituambukize ujinga
Nakubaliana nawe, upinzani ni muhimu Tanzania. Bila wao mengi yasingefanyika.

Nawe kubaliana nami kuwa UPINZANI BILA M/KITI MBOWE UNAWEZEKANA. Tena utakuwa na nguvu sana.
 
Mshukuru M Mungu. Iko hivi- Bila mzungu ungesoma tu na ungeishi katika kijiji hicho hicho, na katika nchi. Haya majina ya vijiji na nchi ni uwakilishi/utambuzi tu. Nchi ingeweza kuitwa Tangaweka, Tangawizi, Tangazuri n.k lakini isingebadili sana maisha yako. Jina ni Jina tu na wala hakuna garantii kuwa baada ya miaka 20 utabaki na jina hilo Tanganyika.
 
Nenda kwenye misitu ya Amazoni kule Bara la Amerika Kusini kuna jamii imekataa mabadiliko na mpaka sasa wanatembea uchi wanaume,wanawake na watoto na ukienda na nguo wanakuona kama mnyama.
 
Ccm wamegeuka kuwa wapiga debe wa chadema , hii ni hatua kubwa sana kwa chadema kazia hapo hapo ,kinachosikika ni vilio toka kwa machawa ya ccm huku wanachadema wametulia tuli.

Swali

Chadema ikisambaratika si ndo nafuu kwa ccm sasa kelele za nini tena?
 
Kipindi cha uchaguzi kimefika. Mengi yatasemwa mengi yatatokea. Bila uongozi thabiti CDM inaweza kusambaratika kwa sababu chama tawala wana mbinu nyingi sana za kufanya ili wabaki madarakani. Wananchi tuna imani na CDM. Uongozi unapaswa kuwa imara na thabiti kuanzia sasa la sivyo ni maumivu kwa kwenda mbele. Isitoshe CDM kushindwa kuwatoa Covid 19 bungeni kunatia shaka sana kwamba wamekubaliana na chama tawala kuhusu huo mpango wa kihuni. Hii itakigharimu sana chama. Hata yule mmojawao aliyeunga juhudi yuko bungeni kwa tiketi ya chama kipi?
 
Aisome Erythrocyte
 
Umegonga mle mle asante mkuu.
 
Msigwa alisema ana nguvu zake na "Personality" yake pale. Nadhani wale "Terrible teens" nao wana nguvu na personalities zao pale. Kila mtu apambane. Hakuna kuachwa achwa.
 
Huku ni kuona kwako, pengine ukitegemea CHADEMA itasamaratika itoe mwanya kwa wachukuwa mateka CCM.
Kuna wengine wanaona tofauti na unavyoona wewe.
Matumaini yako ya CHADEMA kusambaratika yanatokea huko huko ndani ya CCM yenyewe, na hakuna uhakika wowote kwamba yatafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…