Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

Hivi vyama vyetu vya siasa vimeshaharibiwa na mafisadi iwe wa pesa au madaraka.

Mfumo utengeneze chama kipya kitakachoirudisha hii nchi kwenye misingi ya waasisi.

Muda ndio sasa.
 
Mbowe yule mzee ana tamaa za kipumbavu sana. Tokea azingue uchaguzi wa 2015 ndio basi tena.
 
Hivi vyama vyetu vya siasa vimeshaharibiwa na mafisadi iwe wa pesa au madaraka.

Mfumo utengeneze chama kipya kitakachoirudisha hii nchi kwenye misingi ya waasisi.

Muda ndio sasa.
Chama kiundwe na mfumo kisha kiirejeshe nchi kwenye misingi ya waasisi?! Hao mfumo ndio sababu ya sisi kufika hapa kama nchi.
 
CHADEMA kwisha habari yao.Mwisho wa udalali wa kisiasa. Ni mwisho wa uchumia tumbo.
Masta acha kujipa tabu ya kutumia akaunti nyingi nyingi kufungua nyuzi na kukomenti mwenyewe unajaza tu seva chukua muda wako kusifia nakuzungumzia mema ya chama chako CDM huiwezi na hutakuja kuiweza wameshindwa watu wenye kumiliki majeshi hizi story zakukichafua zilianza tangia 1992 wewe ukiwa huko porini ukifanya vibarua kama manamba kwenye mashamba ya makada wa sisiemu Mbarali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na wewe sio chawa wa kwanza tumia akili kidogo upate hata teuzi usaidie familia yako,njoo na content ambazo at least uitwe kwenye mega ya walaji uokote hata makombo
 
CHADEMA haisambaratiki, wataondoka wa kuondoka itabaki imara zaidi. CCM haya wameyafanya miaka yote na hawajawahi kuimaliza chadema.
 
Moja kati ya mambo yaliyonishangaza ni HAYATI MAGUFULI kutumia nguvu kubwa kuiua CHADEMA....

wape uhuru nje na ndani utaziona rangi zao.
Na CHADEMA HAIKUFA.

Jambo kubwa linalonishangaza mimi ni hili la Samia kutumia njia zake laini kabisa kumnasa Mbowe, na kupitia kwa Mbowe kuimaliza CHADEMA kama mchezo rahisi tu!
Ila unakosea sana kuhusu hilo la "wape uhuru..." Samia na Mbowe kuna la ziada. CHADEMA ya Mbowe ni hiyo hiyo CCM ya Samia. Hakuna tofauti yoyote. Sasa utategemea pasiwepo na kuelewana miongoni mwao kwa sababu zipi?
 
Ila unakosea sana kuhusu hilo la "wape uhuru..."
Kinachoiumiza CHADEMA kwasasa ni uhuru walopewa mkuu ni kama unawaacha uchi Kwa Kila wanalofanya mbele ya wananchi...

Mikutano ya hadhara wanasuguana wenyewe.

Maandamano wanasuguana ndani Kwa ndani wenyewe.

Chaguzi za ndani ni taka taka tupu na mdudu Kila Kanda.

KIMSINGI ILE PRIVACY ILOKUWEPO KUTOKANA NA KUNYIMWA BAADHI YA MAMBO KIDEMOKRASIA KULIWAJENGA ZAIDI.
 
Hauwezi kuwa mwisho wa CHADEMA sema kuna kipindi lazima kupitia magumu mwisho wa siku wabaya watajitenga mwenyewe
 
Mbowe hawezi kila siku anahubiri suala la demokrasia alafu ukimwangalia yeye tu unagundua haijui demokrasia au anaijua ila yupo kwa maslahi yake binafsi.

Siasa imewekwa kama chambo tu ya kupigia hela. Watu wanaichukia sana CCM ila chadema imekosa agenda sahihi za kuitoa CCM. Inafika hatua watu wanaona basi acha wasubiri mkombozi labda ndani ya Ccm.

Kiufupi mbowe anachosha!
Sasa kwani lazima chadema? Si kuna vyama vingine, amia hata ACT kupunguza makasiriko
 
Back
Top Bottom