Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

Tanzania kwa sasa hakuna upinzani wa kweli, wapinzani wa kweli walikuwa Mtikila na Malima tu.
 
Mwalimu ndio Km ajae
Sahihi chadema inataka head office kisionekane chama Cha watanganyika tu vyeo vikubwa head office ndio maana wanataka kumpa Mwalimu kuwa katibu mkuu Chadema badala ya Mnyika kubalance level of powers head office isionekane Chadema ni chama Cha wabara tu head office ndio maana watampa Mwalimu
 
Mnyika situmeambiwa ni mpango wa akina Mdee!!
 
Kunapokuwa na Chaguzi za ndani haya mambo hayakwepeki, hakuna wa kuyumbisha Chadema kwa sasa, angalia umri wa hizo ID zinazozusha mambo humu
kwa sisis yanatuumiza sana..... Chadema is strong, sasa yanapoibuka haya, then.....
 
Wampe hata Ustadh, hakuna wapinzani hapo, kuna wachumia tumbo tu.
 
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho...
Naona Leo kitengo Cha propaganda lumumba mko kazini

Au mmepata hela? Ile safari ya mama Korea kusini imeleta maokoto

Naona Vijana mko safi ni mwendo wa propaganda mfu na uchaguzi kwa kwenda mbele
 
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho...
Mkuu upo Sawa hii siyo tetesi ukweli unajionyesha kule x zamani Twitter machawa wote wa mbowe hakuna hata mmoja anaye posti mikutano ya Lissu zaidi ya waugwana wachache tu

Ambao ukiwatizama misimamo yao nizaihili wao ni waumini wa demokrasia ndio pekee wanao msapoti lisu na kuposti mikutano yake
 
Back
Top Bottom