Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

hata hivyo mnyika alikua bado hastahili kua katibu mkuu wa chama,

ni mwepesi na mlaini mno katika nafasi ile. Na hii tetesi ni kwa ndani ni dhahiri kabisa kuna hiyo hali inatamalaki ndani ya haka kachama 🐒
 
What if (I'm just saying what if) Mr Chairman naye yumo kwenye hiyo payroll, huku makubaliano ni kwamba yeye anachuma pesa ilhali Sisiemu yenyewe inavuna utawala?

Impossible, right?
 
mtu yupo kwenye mapumziko ya ndoa mnaleta ujinga hapa
 
Moja kati ya mambo yaliyonishangaza ni HAYATI MAGUFULI kutumia nguvu kubwa kuiua CHADEMA....

wape uhuru nje na ndani utaziona rangi zao.
Hakuwa na lengo la kuiua bali kuiweka pembeni kama isingebadilika kwa sababu haina jipya lenye tija kwa taifa.

Ruzuku ikituna kwao, wako radhi kuucheza wimbo wowote wa chama tawala.
 
CHADEMA inakwisha kama ilivyoaanza
 
Kife tu tuanze tena, maana wananchi wengi kwasasa tumepiteza matumani na chama hicho.

Wengine hatukiungi mkono CCM lakini hatuoni mbadala wake kwa sasa.
Chama cha upinzani kitachoingoa CCM, bado hakijazaliwa. Ni mpaka CHADEMA kife ndio chama cha ukombozi kitazaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…