Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

Uzushi.
 
Kwani hao covidal 19 ni nani hata watupangie wenye chama chetu,chama msipo kuwa makini hao covid ni mtego wa kukivuruga chamaπŸ€ͺ
 
Kwani hao covidal 19 ni nani hata watupangie wenye chama chetu,chama msipo kuwa makini hao covid ni mtego wa kukivuruga chama[emoji2957]

Covid 19 na Mbowe ni pete na kidole
 
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja
Umeuandika huo msemo kwa ukamilifu kama inavyotakiwa kuandikwa na kutamkwa πŸ‘
Wajinga wajinga huwa wanaandika ama kusema Lisemwalo lipo !
Yaani wanalazimisha kwamba Lisemwalo ni lazima lipo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
What if (I'm just saying what if) Mr Chairman naye yumo kwenye hiyo payroll, huku makubaliano ni kwamba yeye anachuma pesa ilhali Sisiemu yenyewe inavuna utawala?

Impossible, right?
Possibly ?
Nothing is impossible below the point πŸ™„πŸ˜·
 
Juma dini alisema chadema genge la kambale,kila mmoja ana ndevu
 
Huyo kijana ni kitengo.

Sema siasa za Mbowe zimepita
 
Mimi huwa najiuliza, mbona wanaopiga debe Kila siku ya kumwondoa Mbowe toka Kwenye uenyekiti wake ni wale mashabiki wa Sisiem??😚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…