Sio kweli wale walisha pigwa kalamu chamani ila tu wanabebwa na mbeleko la chuma tangu walipokaribishwa gereje hadi kule kunakofuka moshi mweupe🫠Hadi hivi sasa hawajijui kama waoni popo ama ndege☺️Covid 19 na Mbowe ni pete na kidole
Uko sahihi kabisaTanzania kwa sasa hakuna upinzani wa kweli, wapinzani wa kweli walikuwa Mtikila na Malima tu.
Sahihi chadema inataka head office kisionekane chama Cha watanganyika tu vyeo vikubwa head office ndio maana wanataka kumpa Mwalimu kuwa katibu mkuu Chadema badala ya Mnyika kubalance level of powers head office isionekane Chadema ni chama Cha wabara tu head office ndio maana watampa MwalimuMwalimu ndio Km ajae
Mnyika situmeambiwa ni mpango wa akina Mdee!!Sahihi chadema inataka head office kisionekane chama Cha watanganyika tu vyeo vikubwa head office ndio maana wanataka kumpa Mwalimu kuwa katibu mkuu Chadema badala ya Mnyika kubalance level of powers head office isionekane Chadema ni chama Cha wabara tu head office ndio maana watampa Mwalimu
Kunapokuwa na Chaguzi za ndani haya mambo hayakwepeki, hakuna wa kuyumbisha Chadema kwa sasa, angalia umri wa hizo ID zinazozusha mambo humuErythrocyte unaona athari za Msigwa kwa chama? Take care!
kwa sisis yanatuumiza sana..... Chadema is strong, sasa yanapoibuka haya, then.....Kunapokuwa na Chaguzi za ndani haya mambo hayakwepeki, hakuna wa kuyumbisha Chadema kwa sasa, angalia umri wa hizo ID zinazozusha mambo humu
Kwa chama kikubwa kama Chadema hayo ni mambo madogodogo sana na hatuwezi kuzuia ila tutapanguakwa sisis yanatuumiza sana..... Chadema is strong, sasa yanapoibuka haya, then.....
hata zitto kabwe siyo mpinzani wa kweli?Tanzania kwa sasa hakuna upinzani wa kweli, wapinzani wa kweli walikuwa Mtikila na Malima tu.
Umefurahi mwenyewe kwa habari za kusadikika. Chanzo Cha taarifa ni uvccm siyo? Mtapoteana Sana safari hii na mjiandae kuwa ANC ya bongo!CHADEMA kwisha habari yao.Mwisho wa udalali wa kisiasa. Ni mwisho wa uchumia tumbo.
Jichekesheni tu mazuzu ya ccm! Kuleni tu hizo elfu 30 za wajinga.Mwalimu ndio Km ajae
Wafuasi wake wanawabariki Wazungu! Rejea mwenye jina la dawa! Utakuwa umejichanganya!MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Naona Leo kitengo Cha propaganda lumumba mko kaziniTaarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho...
Mkuu upo Sawa hii siyo tetesi ukweli unajionyesha kule x zamani Twitter machawa wote wa mbowe hakuna hata mmoja anaye posti mikutano ya Lissu zaidi ya waugwana wachache tuTaarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho...