Hivi unategemea kweli yule yule aliyeharibu uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana, Leo hii "aokoke na kutubu" na kuahidi kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na haki?
I doubt so much on that assurance
Hadi ya libya yaje ndo mtanyookaHahahaaaa....... Tume huru haishuki kutoka mawinguni bwashee!
Mtajuta kulikimbia bunge la katiba.
Watanzania na Walibya ni watu tofauti kabisa bwashee!Hadi ya libya yaje ndo mtanyooka
Mabeberu tayari walishamtwanga barua kali sana ! uzi uko humu humu jfUpo sahihi kabisa labda iwe kama nyuma ya pazia kawekewa shinikizo na mabeberu kuhakikisha harudii huo ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lisilowezekana chini ya juaViva Mnyika, ni muujiza kupata tume huru ya uchaguzi kwa muda ulivyo na mfumo hodhi Raisi.Ni kosa na CDM na Watanzania kutokudai mapema kwa mikakati dhabiti. Japo ccm hawana jipya,wanataraji kubebwa kubebwa kupita bila kupingwa.Polepole anapongezwa kwabkusimamia biashara ya wanasiasa Arusha na kwingineko,
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka link huo uzi barua wahisaniMabeberu tayari walishamtwanga barua kali sana ! uzi uko humu humu jf
Duh inafaa ajionee mwenyewe kabhisa kabhisaweka namba nikupe bando , haya mambo si ya kusimuliwa
Mimi naomba kuuliza swali moja kwako mleta maada kwahiyo mbowe ndo alimua mnyika awe katibu mkuu wala siyo wanachama?Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa Chadema , yaani anatema madini matupu !
angalia mwenyewe video hii hapa
IshiiiHapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa Chadema , yaani anatema madini matupu !
angalia mwenyewe video hii hapa
Eti anatema madini!! Labda kwa wanasaccos ya Chadema! Sisi tuko busy na kusainiwa mkataba wa kihistoria wakati wasaliti wanaugulia stress huko Ubelgiji. Hakuna cha MIGA wala nini!! Accacia wamefutika duniani!! Chezea Magu wewe!!Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa Chadema , yaani anatema madini matupu !
angalia mwenyewe video hii hapa
Katiba ya Chadema inampa mamlaka Mwenyekiti kuteua jina la Katibu Mkuu na kulileta mbele ya Mkutano mkuu kwa ajili ya kuthibitishwa ama la .Mimi naomba kuuliza swali moja kwako mleta maada kwahiyo mbowe ndo alimua mnyika awe katibu mkuu wala siyo wanachama?
Sent using Jamii Forums mobile app
ile 300 iko wapi ? mnapigwa halafu mnakenua !Eti anatema madini!! Labda kwa wanasaccos ya Chadema! Sisi tuko busy na kusainiwa mkataba wa kihistoria wakati wasaliti wanaugulia stress huko Ubelgiji. Hakuna cha MIGA wala nini!! Accacia wamefutika duniani!! Chezea Magu wewe!!
Tulia dawa ikuingie unaitakia nini wakati ulisema tutapelekwa MIGA na bwana wenu Accacia?ile 300 iko wapi ? mnapigwa halafu mnakenua !
Viva Mnyika, ni muujiza kupata tume huru ya uchaguzi kwa muda ulivyo na mfumo hodhi Raisi.Ni kosa na CDM na Watanzania kutokudai mapema kwa mikakati dhabiti. Japo ccm hawana jipya,wanataraji kubebwa kubebwa kupita bila kupingwa.Polepole anapongezwa kwa kusimamia biashara ya wanasiasa Arusha na kwingineko,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda zako wewe ! John mnyika ? Hana lolote zaidi ya kurudia rudia misemo. Too 'young' for that position! Anyway hayo yenu.Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa Chadema , yaani anatema madini matupu !
angalia mwenyewe video hii hapa
Huon kama huo ni udikteta mkubwa sana mwenyekiti kuja na jina lake mfukoni?Katiba ya Chadema inampa mamlaka Mwenyekiti kuteua jina la Katibu Mkuu na kulileta mbele ya Mkutano mkuu kwa ajili ya kuthibitishwa ama la .
Kwahiyo kumbe Katibu Mkuu linakuwa Chaguo la Mwenyekiti kwanza , iko hivyo na haifutiki .
Mabeberu tayari walishamtwanga barua kali sana ! uzi uko humu humu jf
kwani unateseka ?Kwenda zako wewe ! John mnyika ? Hana lolote zaidi ya kurudia rudia misemo. Too 'young' for that position! Anyway hayo yenu.