Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ni mtu wa kufikirisha

Kuongelea na kutenda Ni vitu viwili tofauti,ndio maana kajiweka pembeni kaona wanainchi hawataki kuongelewa wanataka kutendewa kasoma alama za nyakati na wapinzani watapoteza asilimia 99 ya majimbo wanayo gombea kwa vile raia wanataka kutendewa(wabunge wa CCM) na sio kusemewa(wabunge wa upinzani)
Kwahiyo mnataka kujaza wagonga meza kule bungeni??
 
kweli jamaa muungwana sana ameona hakuna alichoweza kufanya kule jimboni kwake, akaona bora akae pemben October asingetoboa.
mnyika kwa sasa ni muhim sana katika kimbunga 2020, anamajukum yanayo mkabili kama katibu wa chama ,
 
Kuna mambo matatu yamemfanya aache ubunge;
1.Mshahara na Posho kubwa za ukatibu mkuu pamoja na fedha za safari mbalimbali
2.Kakimbia maswali kwa wananchi baada ya kuahidi zaid ya miaka5 Maji Jimbo la ubungo/kibamba na kuona Kalishindwa, solution ni kuwakimbia kwa kivuli Cha ukatibu mkuu.
3Nguvu ya jpm kurudisha matumaini ya wananchi kwa serikali yao. N.k

Haya baadhi yamemfanya alale mbele bila mrejesho wa ahadi
Msimsemee. Ukatibu Mkuu ni ajira tosha na inahitaji mda mwingi ofisini na kuratibu shighuli za chama. Mbona hamshangai Bashilu Alli kutogombea ubunge? Naye anaogopa kushindwa?
 
Bashiru alikuwa mbunge?
 
kweli jamaa muungwana sana ameona hakuna alichoweza kufanya kule jimboni kwake, akaona bora akae pemben October asingetoboa.
Ni ugoro uliotarajiwa kuandikwa.siku tukibadilisha hizi fikra mfu ( si mgando) hakika nakuhakikishia nchi hii itapaa kiuchumi.serikali inakusanya kodi inapanga matumizi na usimamizi wake.maendeleo yanapokosekana jimboni wa kuwajibishwa Ni serikali,hakuna mbunge mwenye hela.sanasan wabunge ni wahamasishaji tu.
Kuna maeneo ndani ya nchi hii kwa mfano hayana maji tangu uhuru,hili ni tatizo la mbunge au serikali.wabunge wanakuja na wanapita.
 
Wilaya ya Muheza wana shida kubwa ya maji kwa zaidi ya miaka 30 na hawajawahi kuchagua mbunge nje ya CCM.
 
Kuna mambo matatu yamemfanya aache ubunge;
1.Mshahara na Posho kubwa za ukatibu mkuu pamoja na fedha za safari mbalimbali
2.Kakimbia maswali kwa wananchi baada ya kuahidi zaid ya miaka5 Maji Jimbo la ubungo/kibamba na kuona Kalishindwa, solution ni kuwakimbia kwa kivuli Cha ukatibu mkuu.
3Nguvu ya jpm kurudisha matumaini ya wananchi kwa serikali yao. N.k

Haya baadhi yamemfanya alale mbele bila mrejesho wa ahadi
Kubwa hapo ni namba moja...na pia kisiasa ataendelea kuwa relevant na ikitokea akamaliza KAZI yake ya SG anaweza kugombea tena ubunge na akashinda...Kwa mazingira ya SASA anaweza akawa amefanya hesabu Kali Sana kuliko ata za kina Lema et al. Politician akiwa Domant Kwa 5yrs mara nyingi inakua Ngumu Ku bounce back.
 
Back
Top Bottom