Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mambo ni mengi muda hautoshi, vipi kuhusu mgombea urais, hali ipoje kwa sasa? Maana CCM waeishamaliza safu yao ya juu, CHADEMA itasubiri mpaka lini?
 
Godbles Lema
 
Mtoto akililia wembe apewe! lema apewe
 
 

Attachments

  • VID-20250122-WA0012.mp4
    5.8 MB
Wala hata haihitaji ramli, ni Lema Mungubariki
 
Hatakiwi kua mwanaharakati. Anatakiwa kua smart zaidi kichwani sababu yeye ndo mtendaji mkuu wa chama. Lema ni mwanaharakati anafaa nafasi ya uenezi
sidhani kama hizo sifa zipo kwenye katiba ya chadema,na uteuzi huo utafata mwenyekiti wao anataka nani
 
Ndo mwisho wako wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…