Unakosea kusema hivyo great thinker!
Watu wanakupima na kukujua kabisa ulivyo bila hata ya kujisumbua kukuvua nguo.
Na kweli, ukivuliwa unakutwa uko hivyo hivyo kama walivyokujudge!
Sembuse hili la kujua ulikuwa team mwamba, liwe gumu watu kushindwa kuelewa kweli!
Na hata hivyo siyo kosa kuwa na upande, watu wanaita team!
Kupenda mtu kwa mahaba, hufahamika na kupimwa kwa namna unavyomwelezea mtu wako uliye upande wake.