Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko CCMMakene hayuko Chadema kwa miaka mingi, sijui aliko
Umeondoka na Mbowe wako? Kuanzia leo hutakuwa Tena na taarifa nyeti za nzani Mr Boni YaiTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu
Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.
Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap nalileta jina hapa
Usiondoke JF
Unaendeleaje mkuu, upo wapi tulete panadoHicho kitakuwa ni chama au genge la wahuni.
Uko sahihi, Wangempa yule wa morogoro anaitwa Marcus albanieHatakiwi kua mwanaharakati. Anatakiwa kua smart zaidi kichwani sababu yeye ndo mtendaji mkuu wa chama. Lema ni mwanaharakati anafaa nafasi ya uenezi
..lema anafaa uenezi sio ukatibu mkuuLema atafaa kwa sasa mnyika awe naibu bara kama atataka lkn sio lazima,
Nchi ipi wanaweza kupewa wehu 😂😂😂Jiandae na Nchi itaongozwa na hao unaitwa wehu..
Kivip toa sababu..lema anafaa uenezi sio ukatibu mkuu
DahApumzike kidogo nae sio kunakua na mambo mazito anaingia mitini ananjifanya yupo kwenye mfungo.
Tuko pamoja na mimi nahitaji hii kadi.Rasmi nimejiunga na Team chadema ingawa sina kadi na sihitaji kuwa na kadi.
Habari ziwafikikie Tindo Erythrocyte Mshana Jr na Lucas Mwashambwa , mama D
POLE SANA KWA ANGUKO LA MUMEO NJAA INATAMALAKI KWAKO SASA LISSU HATAKI UJINGATaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu
Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.
Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap nalileta jina hapa
Usiondoke JF
Inasemekana Sugu.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu
Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.
Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap nalileta jina hapa
Usiondoke JF
Acheni hizo...Mjitahidi awe Muislamu. Ni wakati wa chama kuanza kuondokana na picha waliyokuwa nayo ya kuwa chama cha wWakristo.
nchi ganiJiandae na Nchi itaongozwa na hao unaitwa wehu..
Atakuwa lema, chadema sasa itaongozwa na wehu watupu
Unateseka ukiwa wapi?🤣🤣🤣Atakuwa lema, chadema sasa itaongozwa na wehu watupu
Why?Twende na JJ Mnyika