Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem:
"Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi.
Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.'
Kwa lugha rahisi katibu Mkuu huyo anataka Hezbollah ivunjwe kwa nguvu!