Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mimi kundi lipi hapo?🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kundi lipi hapo?🤣
zile za chadema za upotoshajiSiasa harakati ni zipi?
Mimi na Makonda wapi na wapi?
..TULIA UBWEDE
Unatumai ukutane nae ili umpe kitumbua chako? Aah be ok!
Wananchi wanataka maendeleo au upinzani uuliwe?Atasaidia mbinu za kuua wapinzani
Hiki umeandika kitu gani? WaTanzania tunapenda sana kujadili visivyo na manufaa kwa ajili maendeleo yetu kama Taifa.BREAKING NEWS.
Katibu wa NEC CCM Itikadi na Uenezi Kamaradi Paul Christian Makonda PCM jana amesimamisha maisha ya Jiji la Dsm kwa 49% kwa masaa 4. Ilikuwa kama nchi imepata uhuru.
Aidha, alichukuwa takriban 30% ya airtime ya Idhaa ya Kiswahili ya CBB akiweka rekodi pekee kwa safu ya viongozi vijana EAC lakini kwa Afrika akiwa wa 2 nyuma ya Julius Sello Malema wa Chama cha EFF (Economic Freedom Fighters) cha Afrika Kusini.
Chanzo:
Mediametrics.