Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

BREAKING NEWS.

Katibu wa NEC CCM Itikadi na Uenezi Kamaradi Paul Christian Makonda PCM jana amesimamisha maisha ya Jiji la Dsm kwa 49% kwa masaa 4. Ilikuwa kama nchi imepata uhuru.

Aidha, alichukuwa takriban 30% ya airtime ya Idhaa ya Kiswahili ya CBB akiweka rekodi pekee kwa safu ya viongozi vijana EAC lakini kwa Afrika akiwa wa 2 nyuma ya Julius Sello Malema wa Chama cha EFF (Economic Freedom Fighters) cha Afrika Kusini.

Chanzo:
Mediametrics.
 
Hiki umeandika kitu gani? WaTanzania tunapenda sana kujadili visivyo na manufaa kwa ajili maendeleo yetu kama Taifa.
 
Namwona Gilbert Mkude, mzee wa kila kitu kinawezekana chini ya jua. Ni pesa yako tu itaamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…