Hzi dini znatufanya tunakuw wajinga sana. Mbona mambo ya kufanya ya kutusaidia sisi na familia zetu yapo mengi? Mbona tunahangaikia vitu ambavyo havitusaidii? Badala yake vinatutesa? Jaman ujinga upungue sasa maana dunia iko speed 360k/hrHaraka ya kazi gani?
Kwahyo wew unataka kusema hao wasukuma ni akina nani? We shaur yako, waache watu wanaojua siasa waongee we lete tafsir zako za kiswaz halaf uone kitakachokukuta.Gwajima mbona apati misuko misuko hiyo ata pale aliposema wasukuma waunde kikundi cha kigaidi akuitwa hata polisi kuojiwa.
Fack you mambo ya kutishiana nyau sipendi.Kwahyo wew unataka kusema hao wasukuma ni akina nani? We shaur yako, waache watu wanaojua siasa waongee we lete tafsir zako za kiswaz halaf uone kitakachokukuta.
Bora ukae kimya kama mondi mambo yaende.
Too much of everything is harmful, huyu ana matatizo siyo bure
Umeonyesha uislam wako ulivyo MUNGU akufanyie na kuzid kwa kadiri ya mtanuko wa mdomo wako.Fack you
Unaonyesha udini wako ulipo hoja hapo ni sedation crime na serikali inatakiwa iwe consitence kwenye kusimamia sheria.Umeonyesha uislam wako ulivyo MUNGU akufanyie na kuzid kwa kadiri ya mtanuko wa mdomo wako.
Rudia kusoma uzi wako halafu utagundua ujinga wako ulipo.Unaonyesha udini wako ulipo hoja hapo ni sedation crime na serikali inatakiwa consitence kwenye kusimamia sheria.
Bunafsi nimekuwa ni mmoja wa watu wakuchochea humu kukamatwa kwa uamsho, Ponda na Dilunga jumlisha na kufunguwa sana enzi za JK.
Na sasa Gwajima kwa sababu hizo hizo, sasa siwezi kuangaika na mtu ambae ukabila sijui udini umeweka mbele kama nilivyokwambia I do not give a fack kuhusu opinion yako. Kwa sababu huwa sifikirii kidini wala kikabila isipokuwa kwa utanzania na haki.
The law does not discriminate.
Gwajima mbona apati misuko misuko hiyo ata pale aliposema wasukuma waunde kikundi cha kigaidi akuitwa hata polisi kuojiwa.Rudia kusoma uzi wako halafu utagundua ujinga wako ulipo.
Hivi yule mtu aliekosea ile risasi pale moro yuko wapi? Inabidi afungwe yeye sasaHivi wewe unajua kweli historia ya Ponda au unaongea tu. Kwa nini polisi hawajawakamata hao waislamu wengine mnaodai wameuandaa huu waraka wamkamate ponda tu. Serikali ina mkono mrefu haiwezi kukurupuka tu kumkamata tu hasa kwenye haya masuala ya kidini.
Dah bro tufanye yaishe bana mim sina talent ya ubishi.Gwajima mbona apati misuko misuko hiyo ata pale aliposema wasukuma waunde kikundi cha kigaidi akuitwa hata polisi kuojiwa.
.............................................................................
Hiko ndio ulicho quote mara ya kwanza; hiyo kauli ya Gwajima ni crime or not? Na kwanini hakufanywa kitu.
Rudia kusoma uzi wako halafu utagundua ujinga wako ulipo.
Then siku zingine usiuanzishe pick your battles careful.Dah bro tufanye yaishe bana mim sina talent ya ubishi.
Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...Na wala hutosikia askofu au padri kukamatwa kwa kosa lolote nchi hii