Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

Haraka ya kazi gani?
Hzi dini znatufanya tunakuw wajinga sana. Mbona mambo ya kufanya ya kutusaidia sisi na familia zetu yapo mengi? Mbona tunahangaikia vitu ambavyo havitusaidii? Badala yake vinatutesa? Jaman ujinga upungue sasa maana dunia iko speed 360k/hr
 
mbona ule upande wa pili ulivyotoa nyaraka wakati wa jakaya haukukamatwa? mafulugi lazima ajifunze political ecosystem vinginevyo ataacha vilio na visasi badala ya legacy.
 
Gwajima mbona apati misuko misuko hiyo ata pale aliposema wasukuma waunde kikundi cha kigaidi akuitwa hata polisi kuojiwa.
Kwahyo wew unataka kusema hao wasukuma ni akina nani? We shaur yako, waache watu wanaojua siasa waongee we lete tafsir zako za kiswaz halaf uone kitakachokukuta.

Bora ukae kimya kama mondi mambo yaende.
 
Fack you mambo ya kutishiana nyau sipendi.
 
Toka lini kazi zinagawanywa kwa msingi wa dini na sio competency ya individual? That is something too much to ask or say anywhere in the world, hata huko uarabuni. Shekhe Ponda haitakii mema Tanzania.
 
Umeonyesha uislam wako ulivyo MUNGU akufanyie na kuzid kwa kadiri ya mtanuko wa mdomo wako.
Unaonyesha udini wako ulipo hoja hapo ni sedation crime na serikali inatakiwa iwe consitence kwenye kusimamia sheria.

Binafsi nilikuwa ni mmoja wa watu wakuchochea humu kukamatwa kwa uamsho, Ponda na ilunga jumlisha na kufungiwa kwa radio mbao enzi za JK.

Na sasa Gwajima kwa sababu hizo hizo, kwa ivyo siwezi kuangaika na mtu ambae ukabila sijui udini umeweka mbele kama nilivyokwambia I do not give a fack kuhusu opinion yako. Kwa sababu huwa sifikirii kidini wala kikabila isipokuwa kwa utanzania na haki.

The law does not discriminate kama ulivyo utamaduni wa mtanzania Gwajima mimi anitishi the slightest pathetic you.
 
Unaonyesha udini wako ulipo hoja hapo ni sedation crime na serikali inatakiwa consitence kwenye kusimamia sheria.

Bunafsi nimekuwa ni mmoja wa watu wakuchochea humu kukamatwa kwa uamsho, Ponda na Dilunga jumlisha na kufunguwa sana enzi za JK.

Na sasa Gwajima kwa sababu hizo hizo, sasa siwezi kuangaika na mtu ambae ukabila sijui udini umeweka mbele kama nilivyokwambia I do not give a fack kuhusu opinion yako. Kwa sababu huwa sifikirii kidini wala kikabila isipokuwa kwa utanzania na haki.

The law does not discriminate.
Rudia kusoma uzi wako halafu utagundua ujinga wako ulipo.
 
Rudia kusoma uzi wako halafu utagundua ujinga wako ulipo.
Gwajima mbona apati misuko misuko hiyo ata pale aliposema wasukuma waunde kikundi cha kigaidi akuitwa hata polisi kuojiwa.
.............................................................................

Hiko ndio ulicho quote mara ya kwanza; hiyo kauli ya Gwajima ni crime or not? Na kwanini hakufanywa kitu.
 
Hivi wewe unajua kweli historia ya Ponda au unaongea tu. Kwa nini polisi hawajawakamata hao waislamu wengine mnaodai wameuandaa huu waraka wamkamate ponda tu. Serikali ina mkono mrefu haiwezi kukurupuka tu kumkamata tu hasa kwenye haya masuala ya kidini.
Hivi yule mtu aliekosea ile risasi pale moro yuko wapi? Inabidi afungwe yeye sasa

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Gwajima mbona apati misuko misuko hiyo ata pale aliposema wasukuma waunde kikundi cha kigaidi akuitwa hata polisi kuojiwa.
.............................................................................

Hiko ndio ulicho quote mara ya kwanza; hiyo kauli ya Gwajima ni crime or not? Na kwanini hakufanywa kitu.
Dah bro tufanye yaishe bana mim sina talent ya ubishi.
 
Rudia kusoma uzi wako halafu utagundua ujinga wako ulipo.

Huyo hapo unaona anavyobembelezwa Gwajima wako mbona akufika mahakamani na kosa lipo wazi ushahidi upo wa audio na vipeperushi kusambazwa.

Is he above the law?
 
Nimeusoma waraka huu kwa Makini. Waraka unaeleza kinagaubaga tabia halisi ya serikali ya awamu ya tano ya uongo, uzandiki, kutoheshimu sheria, haki za watu, ubaguzi na uuaji.

Kama Kuna mashehe wanaukana basi hao watakuwa ni mashehe ubwabwa, si viongozi halisi wa waislamu. Hongera Shehe Ponda Issa Ponda. Mwenyezi Mungu atakurehemu dhidi ya madhalimu ya serikali hii.
 
Lazaro hili unalolitafuta litakuwa gumu sana kulimaliza mambo yakiwa si mambo.
Uchochezi ndio nini?
Imani za watu kuzisigina sijui nyie haya tu...
 
Waraka wake wamoto sana. Itachukua muda kumpata shekhe uraiani
Lakini kaamsha ari tiyare...
Tupo.
 
Back
Top Bottom