Unaonyesha udini wako ulipo hoja hapo ni sedation crime na serikali inatakiwa consitence kwenye kusimamia sheria.
Bunafsi nimekuwa ni mmoja wa watu wakuchochea humu kukamatwa kwa uamsho, Ponda na Dilunga jumlisha na kufunguwa sana enzi za JK.
Na sasa Gwajima kwa sababu hizo hizo, sasa siwezi kuangaika na mtu ambae ukabila sijui udini umeweka mbele kama nilivyokwambia I do not give a fack kuhusu opinion yako. Kwa sababu huwa sifikirii kidini wala kikabila isipokuwa kwa utanzania na haki.
The law does not discriminate.