TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

Hii changamoto ya kupumua inatumaliza ndugu zangu tuongeze umakini kujilinda sisi na tuwapendao.

Jaribu kuvuta picha kasi ya haya maradhi mapya ya changamoto ya kupumua ikiendelea hivi mpaka August na hizi dharau zetu za kuchapa kazi tutakuwa wageni wa nani?
 
Mmliki wa mabasi ya abiria (Kirumo charo) na diwani kata ya mwanga magharibi mkoani kilimanjaro bwana Eneo Mrutu afariki dunia.
Your browser is not able to display this video.
 
Marehemu Enea Mrutu amezikwa leo leo kijiji kwao Ndamwe-shighatini na viongozi wa kanisa la Lutherani pamoja na waumini wachache.
Poleni wafiwa.
 

Attachments

  • IMG-20200508-WA0034.jpg
    87.8 KB · Views: 2
Duuuh! Hamkani si shwari tena! Naona lile janga limechachamaa vilivyo! Who is next? Mungu ndiye anayejua. RIP Mwenyekiti TABOA.
Who is next? It is you for certain. If not why shouldn't you be the next victim?
 
Mipaka ingefungwa tuliposema pengine hii mambo isingetokea
Mipaka ya USA yenye uzio, ndege za doria,satellite, nk au hii ya hapa Namanga, Rukunyu, nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…