Katibu Mkuu wa TEC ajitafakari kwa sababu anatajwa kuligawa Kanisa kisiasa kwa kushindwa kuzuia mahaba yake

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.

Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.

Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.

Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
 
Jikite kwenye hoja mahususi gentleman,
ikiwa huna hoja kaa kimya tu na itapendeza zaidi 🐒
 
Hata masheikh waliunga mkono uuzwaji wa bandari za Tanganyika kwa waislamu wenzao wa Dp world
Gentleman,
relax! Nazungumzia joto la kisiasa ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa kitaifa wa chadema 🐒
 
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.

Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.

Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.

Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
TL amewabanaas pazuriii sanaaaa
 
Naona mmeshakaa Kwa kukabwa
 
Unatakiwa upimwe mkojo haraka sana!
 
Kati ya makatibu wa kuu wa baraza la maaskofu walio andamwa kisisa Dt kitima ana ongoza.

Mimi ninacho fahamu ni moja wa mapadre wenye kiwango kikubwa cha elimu sio rahisi namna hio kujiingiza kwenye migogoro ya kisiasa tena kwa mwavuli wake yeye kama yeye , eti analiingiza kanisa katika mgogoro!

Labda sio kanisa katoliki .
 
Sasa hao wanyaturu wawili tu wana athari gani kwa siasa za kikabila? Kwanza hakuna anayejua wale ni wanyaturu na hakuna anayefuatilia siasa za kikabila. Kwa upande wa kanisa katoliki ni kubwa lina waumini wa vyama vyote haliko organised kisiasa na haliwezi kugawanyika kwa mitazamo ya kisiasa
 
Back
Top Bottom