Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.
Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.
Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.