Katibu Mkuu wa TEC ajitafakari kwa sababu anatajwa kuligawa Kanisa kisiasa kwa kushindwa kuzuia mahaba yake

sifahamu,
ila katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anajarbu kummpendelea kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambae ni wa kabila lake kua kiongozi mkuu wa chadema Taifa πŸ’
Huyo katibu Kitima sio Mchagga. Mbowe mnafikiri hatawafanya chochote yeye ndiye nguzo ya CDM ukitaka kuuwa CDM mwondoe Mbowe, Lissu ataua CDM mara moja.
 
muerevu mbona unaendekeza makasiriko tu na imani potofu?

huyo katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania aache unafiki, na kuingiza siasa na ukabila katika kanisa katoliki, hiyo ni laana kama aliyonayo msaliti Mzee slaa πŸ’
Huna hoja. Zaidi tu unasumbuliwa na uchawa. Mbona akina Mwamposa walipomsifia mama yako na kumuahidi hadharani ya kwamba waumini wake wote watamchagua yeye na ccm yake kwenye uchaguzi ujao; hujawaji kuja kulalamika humu jukwaani?

Acha unafiki kijana.
 
huyo ndio nani kwanza na wa kanisa gani gentleman 🀣
 
Unaweza kuweka nukuu ili tupime kauli zake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…