Katibu Mkuu wa TEC ajitafakari kwa sababu anatajwa kuligawa Kanisa kisiasa kwa kushindwa kuzuia mahaba yake

Katibu Mkuu wa TEC ajitafakari kwa sababu anatajwa kuligawa Kanisa kisiasa kwa kushindwa kuzuia mahaba yake

sifahamu,
ila katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anajarbu kummpendelea kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambae ni wa kabila lake kua kiongozi mkuu wa chadema Taifa 🐒
Huyo katibu Kitima sio Mchagga. Mbowe mnafikiri hatawafanya chochote yeye ndiye nguzo ya CDM ukitaka kuuwa CDM mwondoe Mbowe, Lissu ataua CDM mara moja.
 
muerevu mbona unaendekeza makasiriko tu na imani potofu?

huyo katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania aache unafiki, na kuingiza siasa na ukabila katika kanisa katoliki, hiyo ni laana kama aliyonayo msaliti Mzee slaa 🐒
Huna hoja. Zaidi tu unasumbuliwa na uchawa. Mbona akina Mwamposa walipomsifia mama yako na kumuahidi hadharani ya kwamba waumini wake wote watamchagua yeye na ccm yake kwenye uchaguzi ujao; hujawaji kuja kulalamika humu jukwaani?

Acha unafiki kijana.
 
Huna hoja. Zaidi tu unasumbuliwa na uchawa. Mbona akina Mwamposa wanalipomsifia mama yako na kumuahidi hadharani ya kwamba waumini wake wote watamchagua yeye na ccm yake kwenye uchaguzi ujao; hujawaji kuja kulalamika humu jukwaani?

Acha unafiki kijana.
huyo ndio nani kwanza na wa kanisa gani gentleman 🤣
 
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake na ametoka kijiji kimoja na yeye.

Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania, anatumia wadhifa wake kushawishi kanisa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, wanachadema na wagombea wengine wa uongozi ndani ya chadema, kumuunga mkono mgombea anae mpenda yeye kwasababu za kikabila, na kua ndie mgombea wa baraza la maaskofu na waamini wa kanisa katoliki wanafaa kufuata hivyo, dhidi ya wagombea wasio wakatoliki na wasio wa kabila lake.

Ni muda muafaka sasa, katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania, kujitafakari mwenyewe, lakini pia kuwajibishwa na kanisa kwa kulichafua baraza la maaskofu katoliki Tanzania, na kuliingiza kanisa katoliki kwenye siasa za ndani ya vyama vya siasa Tanzania.

Hii ni hatari kwa siasa, amani , utulivu na usalama wa Taifa letu changa 🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
Unaweza kuweka nukuu ili tupime kauli zake??
 
Back
Top Bottom