Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki MOON amshauri JK kuhudhuria Mkutano wa Kampala

Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki MOON amshauri JK kuhudhuria Mkutano wa Kampala

utakaaje meza moja na mtu ambaye anawaunga mkono M23??? hapo UN wamekosea issue hapo ni kuruhusu tu drown dhidi ya Rwanda na M23 wao basi ,hamna haja ya diplomacy tena kila siku PK anaimbiwa wimbo ule ule wa kuwasaidia M23 mimi naona anapewa sifa tu bure ikibidi kwa sababu JWTZ wanao hadi ushahidi wa maafisa wa PK ni kumkamata tu PK aende ICC kilichobaki kama hawawezi wawaachie JWTZ wanaweza kumkama dead or alive hukohuko kigali kwake

Unamshaurije mwenzio kuzungumza na waasi kuhusu amani wakati huohuo wewe mwenyewe huwezi kukaa nae kupatana nae?
 
Kagame kutokwenda huko itazidi kumuweka pabaya,bora angeenda kuona na JK ana kwa ana kumaliza hii issue,otherwise anazidi kutoa sababu ya JWTZ kutinga Kigali.
 
Ili kuwepo na Amani DRC, nawaomba UN wampe Ruhusa Rais Kikwete aongeze Battalioni kama mbili au 3 ili kutokomeza waasi wa M23 nikiwa na maana ya kwamba JWTZ lifike mpaka Kigali. Lazima tung'oe chanzo na si matawi, Shina na Mzao wa M23 ni kagame. Na huyu Kagame mbele JWTZ hafurukuti.

Nakuunga mkono mkuu. bila ya kushughulikia kiini cha mgogoro, amani ya DRC itaendelea kuwa tete
 
Kagame nae aliwasili Uganda jana.

By John Odyek

President Paul Kagame of Rwanda is in Uganda to attend a meeting of regional heads of states geared at resolving violence in the DR Congo.

The heads of states and government of the International Conference on the Great Lakes region will, on 5th September 2013, hold the 7th Extraordinary Summit on security situation in the Eastern Democratic Republic of Congo in Kampala, Uganda.

The Summit will be preceded by parallel meetings on 4th September, 2013, of regional Ministers of Defence and Regional Inter-Ministerial Committee comprising of Ministers of Foreign Affairs from member states. All meetings will take place at Munyonyo Commonwealth Resort, Kampala, Uganda.

Member states of the International Conference on Great Lakes Region include; Angola, Burundi, Central African Republic, Republic of Congo, Democratic Republic of Congo, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan, Tanzania and Zambia.

Source: newvision.co.ug

atakuwa aliwahi ili kuzoea mazingira manake lazima atakiona kiti cha moto kwenye mkutano huo.
 
wangeuleta huo mkutano dar es salaam kama tanzania ni key player. sio kuupeleka huko kampala
 
May be huo ndo mstari kagame alomwekea vasco wetu. Nani ajuaye?
Vasco naye apunguze safari, kwa nini asimtume membe tu huko? Anahangaikia kwenda wakati kachorewa mstari, shauri lake na uvasco wake.
 
wangeuleta huo mkutano dar es salaam kama tanzania ni key player. sio kuupeleka huko kampala

Mkuu, kwa kawaida vikao vya ICGLR hufanyika katika nchi ambayo inatoa Mwenyekiti. kwa sASA Mwenyekiti wa ICGLR ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda. Ndo maana vikao vinafanyika huko
 
May be huo ndo mstari kagame alomwekea vasco wetu. Nani ajuaye?
Vasco naye apunguze safari, kwa nini asimtume membe tu huko? Anahangaikia kwenda wakati kachorewa mstari, shauri lake na uvasco wake.

Mawaziri wa nchi za nje walishatangulia.
 
Nimepita karibu na ikulu saa 5:00 njia ya obama imefungwa na kwa mbali nimeiona helkopta sasa km mkuu hayupo kwa nini njia ifungwe
Usipende kuzusha
 
amefanya vema kwenda mkulu wa kaya, daaah sijui wakionana kagame n jk watapeana mkono:noidea:
 
May be huo ndo mstari kagame alomwekea vasco wetu. Nani ajuaye?
Vasco naye apunguze safari, kwa nini asimtume membe tu huko? Anahangaikia kwenda wakati kachorewa mstari, shauri lake na uvasco wake.

Mkuu, si kila kikao unaweza kukwepa. vikao vingine ni lazima uhudhurie. tatizo hapa si safari za JK bali ni umuhimu wa nchi yetu
 
Nimepita karibu na ikulu saa 5:00 njia ya obama imefungwa na kwa mbali nimeiona helkopta sasa km mkuu hayupo kwa nini njia ifungwe
Usipende kuzusha
Mkuu, kwani Ikulu ni JK tu?
 
Tunahitaji usalama wa Rais wetu na si vinginevyo. Kagame na Kaguta wanahistoria mbaya katika usalama wa viongozi.
 
Back
Top Bottom