Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki MOON amshauri JK kuhudhuria Mkutano wa Kampala

Unamshaurije mwenzio kuzungumza na waasi kuhusu amani wakati huohuo wewe mwenyewe huwezi kukaa nae kupatana nae?
 
Kagame kutokwenda huko itazidi kumuweka pabaya,bora angeenda kuona na JK ana kwa ana kumaliza hii issue,otherwise anazidi kutoa sababu ya JWTZ kutinga Kigali.
 
Nakuunga mkono mkuu. bila ya kushughulikia kiini cha mgogoro, amani ya DRC itaendelea kuwa tete
 
atakuwa aliwahi ili kuzoea mazingira manake lazima atakiona kiti cha moto kwenye mkutano huo.
 
wangeuleta huo mkutano dar es salaam kama tanzania ni key player. sio kuupeleka huko kampala
 
May be huo ndo mstari kagame alomwekea vasco wetu. Nani ajuaye?
Vasco naye apunguze safari, kwa nini asimtume membe tu huko? Anahangaikia kwenda wakati kachorewa mstari, shauri lake na uvasco wake.
 
wangeuleta huo mkutano dar es salaam kama tanzania ni key player. sio kuupeleka huko kampala

Mkuu, kwa kawaida vikao vya ICGLR hufanyika katika nchi ambayo inatoa Mwenyekiti. kwa sASA Mwenyekiti wa ICGLR ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda. Ndo maana vikao vinafanyika huko
 
May be huo ndo mstari kagame alomwekea vasco wetu. Nani ajuaye?
Vasco naye apunguze safari, kwa nini asimtume membe tu huko? Anahangaikia kwenda wakati kachorewa mstari, shauri lake na uvasco wake.

Mawaziri wa nchi za nje walishatangulia.
 
Nimepita karibu na ikulu saa 5:00 njia ya obama imefungwa na kwa mbali nimeiona helkopta sasa km mkuu hayupo kwa nini njia ifungwe
Usipende kuzusha
 
amefanya vema kwenda mkulu wa kaya, daaah sijui wakionana kagame n jk watapeana mkono:noidea:
 
May be huo ndo mstari kagame alomwekea vasco wetu. Nani ajuaye?
Vasco naye apunguze safari, kwa nini asimtume membe tu huko? Anahangaikia kwenda wakati kachorewa mstari, shauri lake na uvasco wake.

Mkuu, si kila kikao unaweza kukwepa. vikao vingine ni lazima uhudhurie. tatizo hapa si safari za JK bali ni umuhimu wa nchi yetu
 
Nimepita karibu na ikulu saa 5:00 njia ya obama imefungwa na kwa mbali nimeiona helkopta sasa km mkuu hayupo kwa nini njia ifungwe
Usipende kuzusha
Mkuu, kwani Ikulu ni JK tu?
 
Tunahitaji usalama wa Rais wetu na si vinginevyo. Kagame na Kaguta wanahistoria mbaya katika usalama wa viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…