Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki MOON amshauri JK kuhudhuria Mkutano wa Kampala

Aende lakn asijidai bingwa kwa kushauri asije akasabibisha mengne mapya
 
Kampala sio sehemu muafaka ya kujadili mambo ya Eastern Congo maana Mu7 nae anatuhuma zake kwa kushirikiana na PK, bora ungefanyika hata Burundi au DRC kwenyewe.
 
Kwa akili ya Mtuts yule hawezi kutia mguu, lazi akwepe kukutana na Rais Kikwete.
 
Kagame si tu anatakiwa kuomba msamaha lakini pia anastahili kuadhibiwa

Kuna Mmbwa wa nilimpa jina la Kagame kutokana na ukorofi wake na hata umchape kiasi gani hataki kuacha ukorofi nategemea kumdunga sindano ya simu ili afe tu basi
 
JK mwambie Kagame live kuwa Kagame ndo alisababisha genocide Rwanda kwa kumuua Rais Habyarimana mwaka 1994. JK mwambie Kagame aache unafiki!
 
Baba yetu wa Taifa. Jakaya! Kama ni kweli naomba uhudhurie!
 
JK mwambie Kagame live kuwa Kagame ndo alisababisha genocide Rwanda kwa kumuua Rais Habyarimana mwaka 1994. JK mwambie Kagame aache unafiki!
Ayaa-hiyo ni siri sana usirudie kuandika humu hivi!
 


Hapo kwenye nyekundu nadhani ulimi umeteleza kidogo maana mwezi wa tano tumeuacha siku nyingi sana.
 
Kuna Mmbwa wa nilimpa jina la Kagame kutokana na ukorofi wake na hata umchape kiasi gani hataki kuacha ukorofi nategemea kumdunga sindano ya simu ili afe tu basi
Siyo lazima kutumia lugha za ovyo hata kama unashabikia vita.Naamini wengi mnaoshabikia vita yoyote hivi sasa ni mazao na wafuasi wa mafisadi ili waweze kutoa logisitcis katika majeshi kama viel vifaa, vyakula, mafuta na silaha.Kwa uchumi na taifa dhaifu kiuchumi kama Tanzania vita yoyote ni miradi ya mafisadi na wafanyibiashara ya kulevya.
 
acheni masiala nyie, fast jet ya bonge haiwezisusia kwenda kampala wakati inapenda safari ka nn!
 

No doubt wewe ni mtusi unaejiita Muhangaza iko siku kturudi kwenu tu .
 
JK anavyopenda safari nisingetegemea kukosa hii trip.

Hapa siyo suala la kupenda safari. Hapa amejitambua na kupuuza ushauri wa wale wasiokuwa na busara waliokuwa wanamshauri asiende ili hatimaye aonekane anamwogopa Kagame. Ndiyo maana sikusita kuwaona washauri wa namna hiyo washauri uchwara. Hapa ameonesha ukomavu na tena he is a big brother kwa Kagame. Big up prezidaa!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kuna Mmbwa wa nilimpa jina la Kagame kutokana na ukorofi wake na hata umchape kiasi gani hataki kuacha ukorofi nategemea kumdunga sindano ya simu ili afe tu basi

Kauli hii haistahili kutoka kwa mtu anayejiita mstaarabu. Umevuka mstari wa ustaarabu ndugu yangu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
APA NDO NAONA UMUHIMU WA NYERERE ANGESEMA TUU UWEZO NIA NA SABABU YA KUMPIGA PK TUNAO MAAN ANADESTABILIZE MAKUSUDI DRC uku sisi tukiambulia wakimbizi na fujo za apa na pale!
 
yeah aisee tunamwombe hawa jamaa wasije kum kolimba!!! ahahah
 
Published on 5 Sep 2013 President Kagame jets into the country ahead of a crisis meeting as fighting in the Democratic Republic of Congo threatens to suck in countries in the Great Lakes region.
Tanzania's Jakaya Kikwete is also expected at the talks which are under the auspices of the International Conference on the Great Lakes region (ICGLR). The meeting comes at the peak of saber-rattling after Rwanda said it would not accept any more provocation from the DRC after shells hit inside its territory.
Rwanda's Kagame jets in for crucial regional talks: Source NTVUGANDA youtube
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…