Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Na kuna wengine huwa wametumiwa na chama kupiga deal kufanikisha sera ya siri ya uhujumu uchumi wa nchi yetu ya CCM then Magufuli ana act kuwatumbua ili kwanza kuficha uovu wa chama chake na pili kuwagribu wanyonge kwamba ana pambana na rushwa na ufisadi.then upepo ukipoa anawarudisha kwenye ulaji.

watanzania mpaka kuja kuelewa kuwa adui yao namba moja ni ccm, na kwamba hao wanaowaamini more than 97% wanawafanyia usanii,wengine tutakuwa tumeshakufa
 
Anastahili sana, kaumiza sana wengi huyu kwa kutaka sifa tu kwa mkuu. sasa ni wakati wake wa kutendwa kama alivyowatenda wengine!
 
Point zako ndio zinaonyesha umri wako.
Najua nikianza tu kukuunga mkono humu hapo hapo utaniona kama umri wa babu yako. Tatizo sio point za yoyote, issue mnapenda wote tuwe humu tunaimba nyimbo moja za kupinga na kulalamika.
 
Ni ngumu kwa mswahili kujiuzulu labda kama anaandaliwa nafasi ingine nono
 
“Na ninataka niwaambie Watanzania,
siku mkibeza juhudi zinazofanywa,
amani, usalama ukakatika, fedha zote
Rais atazielekeza kununua risasi na
mabomu kwa ajili ya kulinda nchi,
matokeo yake hatutajenga hospitali,
shule, watu hawatolima na matokeo
yake nchi itakuwa masikini. Magufuli
oyee!”

KANGI LUGOLA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…