Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Tutaelewana tu ngoja tuoneshane makali kidogo kidogo

Wanaojifanya ccm yao

1. Makamba senior
2. Makamba junior
3. Simbachawene
4. Mwigulu
5. Kangi
6. Nape
7.
8.
 
Haya jamani,nani unaona atafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani?
 
Tuliandika humu mara kadhaa, ukiona mtu anasifia sana waliomteua ujue kuna maovu mengi nyuma yake anajaribu kuyaficha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…