LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Papaa Mobimba, Wakome
Mtu Brigedia general ana acha kazi yake ya heshima ana kwenda kwenye makazi ya kisisa.. Acha yamkute. Jamaa yangu wa kusifu na kuabudu nae kwishney.. Akakate viuno kwenye bar yake kule Bunda.. Cheo ni dhamana.. Ahadi za chama changu pendwa TANU
Sent using Jamii Forums mobile app