Duuh aiseeView attachment 1331667View attachment 1331668View attachment 1331669
Sio mbaya , kijiwe chake ametuachia huku Mwanza kinatubarki Sana .... Kwa mda mfupi naamin wizara imemlipa, Kwa mda mfupi kijiwe kimenona
Lusinde 'kibajaji'Haya jamani,nani unaona atafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani?
Punguza sauti, asije akakusikia, akakasirika na mwisho tukakuokota mahala flani.Leo amejua kwamba matumizi bila kupitishwa na Bunge ni makosa.
Miradi yake ya Chato na ununuzi wa midege ilipitishwa na Bunge la Rwanda?
Nchi hii mbona wataokwa wengi sana hasa akimaliza muhula na kulazimisha muhula mwingine.Punguza sauti, asije akakusikia, akakasirika na mwisho tukakuokota mahala flani.