Eti nimeshtuka mno tu, au unazijua Mkuu?Kuna mahala nimeona sababu ya Kifo chake hakijulikani na nimeshtuka mno tu, ila ngoja nami niendelee tu Kunyamaza kama nyie wengine hapa.
Kwa mujibu wa Gregorian Calendar tu!Mwisho wa mwaka daaah!
Siku zote ukiona Vitu uvitakavyo haviendi au vinahojiwa Kiuweledi au Siasa ikinyimwa nafasi ndani ya Waburudishaji ni lazima ututangulie Ahera!Eti nimeshtuka mno tu, au unazijua Mkuu?
Haihitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ukiambiwa Mtu Mkubwa kama huyu Kifo chake hakijulikani basi kuna walakini mahala na Katangulizwa pia.Pole kwa familia na walioguswa msiba huo
Hatuchelewi kuambiwa na watu humu kuwa second wave inaendelea wakati hata familia haijatoa taarifa ya kisababishi Cha kifo chake.