TANZIA Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo Mngereza afariki dunia

TANZIA Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo Mngereza afariki dunia

Dah poleni kwa tasnia ya sanaa, jamaa alijitahidi sana kuizungumzia sanaa kwa upana wake, Mungu amempenda zaidi.
Kumbe Mungu akimpenda mtu ndio kwisha habari? Naomba kueleweshwa Mungu akikupenda unakufa?
 
Marehemu na akapumzike kwa amani. Mengine yote sasa yanabakia kuwa history.

Ila kwanini mnatumia nguvu nyingi za misuli ya mwili kuukimbia ukweli kuwa pana vifo vya first wave na hata second wave?

Eti ni njama za mabeberu dhidi ya utawala wa jiwe.

Nyambafu!
Corona inaogopa mpaka, inapiga Kenya tu na kwa Mabeberu🙄🙄
 
Dah, nimebahatika kukutana na kupiga stori na huyu jamaa. Alinidokezea kuhusu kazi zake za kuisimamia Basata. Alikuwa tafu na kuna ishu nyingi sana zilikuwa zinaenda ndivyo sivyo. Kwa nje BASATA ni chombo cha serikali, lakini kwa ndani, kuna watu walikuwa ndiyo Basata, wakiamuru mambo kwenda vile watakavyo. Alipoteuliwa kuishika hiyo nafasi, akaukataa utaratibu huo, akapingwa sana na kutengeneza maadui. Lakini alisema yeye alikomaa na kanuni zinavyotaka, hakujali jina la mtu. Taifa limempoteza mtu muhimu sana hasa kipindi hiki sanaa inapokua. Rest In Peace comrade
Acha ujinga, hana umuhimu wowote kwa Watanzania. Labda kwake mwenyewe
 
Matumizi ya neno "Bwana akipenda au Mungu amempenda " ni mtu kuongezewa siku za kuishi duniani ki-Biblia
And now I have a word for you who brashly announce, “Today—at the latest, tomorrow—we’re off to such and such a city for the year. We’re going to start a business and make a lot of money.” You don’t know the first thing about tomorrow. You’re nothing but a wisp of fog, catching a brief bit of sun before disappearing. Instead, make it a habit to say, “If the Master wills it and we’re still alive, we’ll do this or that.

MEV
Instead you ought to say, “If the Lord wills, we shall live and do this or that.”

MOUNCE
Instead, you ought to say, “If the Lord so decrees, then we will live and do this or that.”

NOG
Instead, you should say, “If the Lord wants us to, we will live and carry out our plans.”
 
Ni bora kusema chanzo cha kifo ni siri ya familia kuliko kusema hakijulikani wakati kafia hospitali.
 
Corona inaogopa mpaka, inapiga Kenya tu na kwa Mabeberu🙄🙄

Tuchukue tahadhari wakuu. Hizi serikali zisizokuwa na chembe ya huruma na maisha na hata mali za raia wake ni machukizo hata kwa mola.

Katika zama za leo za hili gonjwa wao hakuna shughuli zozote za watu zimeathirika. Wanachojua ni kuongeza kodi tu.

Eeh mola wetu na ukawatendee wote kama wanavyotundea sisi. Wala hatuombi zaidi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Katibu Mtendaji BASATA bwana Godfrey Mungereza amefariki dunia leo.

Katibu mkuu Wizara ya Habari, Tamaduni na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amethibisha habari hii.

Amefariki Dodoma alipokuwa anapatiwa matibabu.

Pia taarifa zimethibitishwa na watu wake wa karibu.

Bado sababu za kifo chake hakijulikani.

Taarifa zaidi zitawajia.

RIP

View attachment 1658596
Godfrey Mungereza enzi za uhai wake
Mungu aiweke roho yake pema peponi
 
Back
Top Bottom