TANZIA Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo Mngereza afariki dunia

Pole kwa familia na walioguswa msiba huo
Hatuchelewi kuambiwa na watu humu kuwa second wave inaendelea wakati hata familia haijatoa taarifa ya kisababishi Cha kifo chake.
Marehemu na akapumzike kwa amani. Mengine yote sasa yanabakia kuwa history.

Ila kwanini mnatumia nguvu nyingi za misuli ya mwili kuukimbia ukweli kuwa pana vifo vya first wave na hata second wave?

Eti ni njama za mabeberu dhidi ya utawala wa jiwe.

Nyambafu!
 
Katibu Mtendaji BASATA bwana Godfrey Mungereza amefariki dunia leo.

Katibu mkuu Wizara ya Habari, Tamaduni na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amethibisha habari hii.

Amefariki Dodoma alipokuwa anapatiwa matibabu.

Pia taarifa zimethibitishwa na watu wake wa karibu.

Bado sababu za kifo chake hakijulikani.

Taarifa zaidi zitawajia.

RIP

View attachment 1658596
Godfrey Mungereza enzi za uhai wake
Rip
 
Marehemu na akapumzike kwa amani. Mengine yote sasa yanabakia kuwa history.

Ila kwanini mnatumia nguvu nyingi za misuli ya mwili kuukimbia ukweli kuwa pana vifo vya first wave na hata second wave?

Eti ni njama za mabeberu dhidi ya utawala wa jiwe.

Nyambafu!
Siyo bure, utakuwa unampenda sana hilo dudu Kovidi. Sisi huko tulishagatoka kitambo sana. Tuchape kazi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
 
R.i.p karibu .
Kahamia kwenye mbao mapema sana hata christmass hajaionja
 
Dah, nimebahatika kukutana na kupiga stori na huyu jamaa. Alinidokezea kuhusu kazi zake za kuisimamia Basata. Alikuwa tafu na kuna ishu nyingi sana zilikuwa zinaenda ndivyo sivyo. Kwa nje BASATA ni chombo cha serikali, lakini kwa ndani, kuna watu walikuwa ndiyo Basata, wakiamuru mambo kwenda vile watakavyo. Alipoteuliwa kuishika hiyo nafasi, akaukataa utaratibu huo, akapingwa sana na kutengeneza maadui. Lakini alisema yeye alikomaa na kanuni zinavyotaka, hakujali jina la mtu. Taifa limempoteza mtu muhimu sana hasa kipindi hiki sanaa inapokua. Rest In Peace comrade
 
Hebu tueleze umuhimu wake ulikuwa nini? Kufungia nyimbo za wasanii?
 
Back
Top Bottom