TANZIA Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo Mngereza afariki dunia

TANZIA Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo Mngereza afariki dunia

Changamoto za kupumua, by Kigogo wa Twitter....

Hivi Huyo Mngereza juzi juzi alikuwa anahojiwa na Big Chawa cuzin usin-tag akawa anachana mistari ya hatari au nimemix madesa? Futa Lipo na linakamata watu.
 
Pole kwa familia, Ndugu Jamaa na marafiki. kwa Tasnia ya Habari hususanu BASATA , Geodfrey Mngereza apate raha ya Milele apumzike kwa Amani
 
Back
Top Bottom