Kumbe Mungu akimpenda mtu ndio kwisha habari? Naomba kueleweshwa Mungu akikupenda unakufa?Dah poleni kwa tasnia ya sanaa, jamaa alijitahidi sana kuizungumzia sanaa kwa upana wake, Mungu amempenda zaidi.
Corona inaogopa mpaka, inapiga Kenya tu na kwa Mabeberu🙄🙄Marehemu na akapumzike kwa amani. Mengine yote sasa yanabakia kuwa history.
Ila kwanini mnatumia nguvu nyingi za misuli ya mwili kuukimbia ukweli kuwa pana vifo vya first wave na hata second wave?
Eti ni njama za mabeberu dhidi ya utawala wa jiwe.
Nyambafu!
Jina tuu sio bwana mwenyewe?Jina la Bwana lihimidiwe
Na Bwana mwenyewe 🙏Jina tuu sio bwana mwenyewe?
Acha ujinga, hana umuhimu wowote kwa Watanzania. Labda kwake mwenyeweDah, nimebahatika kukutana na kupiga stori na huyu jamaa. Alinidokezea kuhusu kazi zake za kuisimamia Basata. Alikuwa tafu na kuna ishu nyingi sana zilikuwa zinaenda ndivyo sivyo. Kwa nje BASATA ni chombo cha serikali, lakini kwa ndani, kuna watu walikuwa ndiyo Basata, wakiamuru mambo kwenda vile watakavyo. Alipoteuliwa kuishika hiyo nafasi, akaukataa utaratibu huo, akapingwa sana na kutengeneza maadui. Lakini alisema yeye alikomaa na kanuni zinavyotaka, hakujali jina la mtu. Taifa limempoteza mtu muhimu sana hasa kipindi hiki sanaa inapokua. Rest In Peace comrade
Siyo bure, utakuwa unampenda sana hilo dudu Kovidi. Sisi huko tulishagatoka kitambo sana. Tuchape kazi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Corona inaogopa mpaka, inapiga Kenya tu na kwa Mabeberu🙄🙄
Wakina Nani?Huo n ujumbe kwa watu wanaona apa duniani wamefika.
Mtanzania halisi ktk ubora wakoSiku zote ukiona Vitu uvitakavyo haviendi au vinahojiwa Kiuweledi au Siasa ikinyimwa nafasi ndani ya Waburudishaji ni lazima ututangulie Ahera!
Unawakilisha vema!Haihitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ukiambiwa Mtu Mkubwa kama huyu Kifo chake hakijulikani basi kuna walakini mahala na Katangulizwa pia.
Usijiseme na kujianika hivo vile ulivyogawa ubongo wako kwa wabunguaji, uko laivu hapa ujueUtakuwa mwanachama wa kile chama mnachotunziwa akili. Siyo bure!
Usijiseme na kujianika hivo vile ulivyogawa ubongo wako kwa wabunguaji, uko laivu hapa ujue
Cc: C.C.MWakina Nani?
Mungu aiweke roho yake pema peponiKatibu Mtendaji BASATA bwana Godfrey Mungereza amefariki dunia leo.
Katibu mkuu Wizara ya Habari, Tamaduni na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amethibisha habari hii.
Amefariki Dodoma alipokuwa anapatiwa matibabu.
Pia taarifa zimethibitishwa na watu wake wa karibu.
Bado sababu za kifo chake hakijulikani.
Taarifa zaidi zitawajia.
RIP
View attachment 1658596
Godfrey Mungereza enzi za uhai wake