Bahati mbaya kwelinamkumbuka alizuia wimbo wa bongo bahati mbaya
Changamoto za kupumua, by Kigogo wa Twitter....Kuna mahala nimeona sababu ya Kifo chake hakijulikani na nimeshtuka mno tu, ila ngoja nami niendelee tu Kunyamaza kama nyie wengine hapa.
Changamoto za kupumua, by Kigogo wa Twitter....
Yap ndio huyo huyo na mimi nilimsikiliza EA RadioHivi Huyo Mngereza juzi juzi alikuwa anahojiwa na Big Chawa cuzin usin-tag akawa anachana mistari ya hatari au nimemix madesa? Futa Lipo na linakamata watu.
Yap ndio huyo huyo na mimi nilimsikiliza EA Radio