TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
hivi huu utaratibu upo kweli ama ndiyo mambo ya April Mosi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni mbinu ya mahasimu wa chama kinachoongoza serikali katika kutaka kugawanya kundi la uungaji mkono mitandaoni ili mahasimu watawale mitandao.Kumbe kuna wanaolipwa
Hapa walikuwa wanagombea mgaoKwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.
1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Ongezea paschal Mayalla kochaKwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.
1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Hata mimi!Sijaelewa
asante mkuu kwa kunikumbusha , huyo yumo pia.Ongezea paschal Mayalla kocha
Kweli njaa mbaya! Mtu anauza utu kwa korosho?Wakati hajapata uDC kisarawe alikuwa mratibu mkuu wa LB7. Alikuwa strict kila post na michango ya wanaLB7 jamvini anafuatilia hadi akijiridhisha ndio unalipwa buku saba.
Pia kulikuwa na vipakiti vya Korosho wanapewa kama motiveshen ukimtukana mbowe, chadema na wachaga
Jon
Joni mbatizaji of the "Bwashee" and "Mzee Mgaya" fame (LoL)Mmoja wao aloacha jazba ni@johnthepabtist..amekuwa mpole kama kapelekwa ukweni...adabu zote..tutaelewana tu
johnthebaptist
🤣🤣🤣🤣Ndo maana wamekimbia amebaki mzee wa msambwanda Bashite na maid kibao
Lumumba buku saba kazini! wewe chumia tumbo tu.Mzee tupatupa wa Ufipa, kama huna kitu cha kuposti nenda kilabuni ukapate hata kitochi cha mbege.
Kwa hiyo vijana hao watakula nini ?Pesa yao ya malipo imetumika kununua masks na sanitizers, tunaomba watuvumulie katika kipindi hiki kigumu pamoja tutashinda #Tunatekeleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF imebatizwa jina la Lumumba Buku Saba inafanya vyema kutetea kwa kila uwezo wao. Kiukweli, hakuna jambo ambalo linahusu Serikali hii au CCM ambalo halisifiwi nao. Always, Lumumba Buku Saba wanakufa na tai zao shingoni.
Malipo ya Timu yetu ya Mitandaoni yanaratibiwa na Idara yako ya Uenezi na Itikadi ya CCM iliyopo chini yako Ndugu Humprey Polepole, muasisi wa wazo la timu husika. Pamoja na malalamiko na maombi ya wanatimu kutaka malipo yapandishwe kutoka elfu saba hadi kumi kwa siku, malipo yao yaliyokwishapitishwa kichama ya elfu saba kwa siku yamekuwa yakilipwa. Wanatimu wanajituma pamoja na kuwa ni wachache tu kati yao ndiyo waliowezeshwa kwa kununuliwa simu, tablet na kompyuta.
Malipo ya wanatimu yamesimama kwa muda sasa. Baadhi ya wanatimu wamenza kususa kwa ama kutoandika chochote mitandaoni au kuandika bila jazba, mihemko, hasira na kwa kejeli kama walivyoagizwa. Sababu zinazotolewa kuhusu kuyumba kwa malipo ya wanatimu ni kutokana na ugonjwa wa Corona. Vijana wanataka kujua, Corona imeathirije malipo yao? Ndugu Polepole kumbuka kuwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tusiwaudhi wanatimu wa mtandaoni. Tuwallipe na kuwawezesha ili watusaidie.
Tuwe makini na ugonjwa wa Corona kwa kuchukua tahadhari!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)