Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.

1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Rizevu usimsaau @statesman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.

1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Wakudadavua je?
 
Hahahaaaaa...........nimecheka sana.

Siasa ni sayansi.

Siasa siyo uadui

Maendeleo hayana vyama!
 
Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF imebatizwa jina la Lumumba Buku Saba inafanya vyema kutetea kwa kila uwezo wao. Kiukweli, hakuna jambo ambalo linahusu Serikali hii au CCM ambalo halisifiwi nao. Always, Lumumba Buku Saba wanakufa na tai zao shingoni.

Malipo ya Timu yetu ya Mitandaoni yanaratibiwa na Idara yako ya Uenezi na Itikadi ya CCM iliyopo chini yako Ndugu Humprey Polepole, muasisi wa wazo la timu husika. Pamoja na malalamiko na maombi ya wanatimu kutaka malipo yapandishwe kutoka elfu saba hadi kumi kwa siku, malipo yao yaliyokwishapitishwa kichama ya elfu saba kwa siku yamekuwa yakilipwa. Wanatimu wanajituma pamoja na kuwa ni wachache tu kati yao ndiyo waliowezeshwa kwa kununuliwa simu, tablet na kompyuta.

Malipo ya wanatimu yamesimama kwa muda sasa. Baadhi ya wanatimu wamenza kususa kwa ama kutoandika chochote mitandaoni au kuandika bila jazba, mihemko, hasira na kwa kejeli kama walivyoagizwa. Sababu zinazotolewa kuhusu kuyumba kwa malipo ya wanatimu ni kutokana na ugonjwa wa Corona. Vijana wanataka kujua, Corona imeathirije malipo yao? Ndugu Polepole kumbuka kuwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tusiwaudhi wanatimu wa mtandaoni. Tuwallipe na kuwawezesha ili watusaidie.

Tuwe makini na ugonjwa wa Corona kwa kuchukua tahadhari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Mzee Tupa , kumbe ni kweli kuna watu wako kibaruani ?!. Mi nilidhani ni dhihaka tu kwa supporter wa Ccm !!

Odhis *
 
Mbona tupo wenye chama moyon,i ambao tunatetea chama bila ya malipo, tena tunafanya kwa kukipenda chama chetu.
Wanaolipwa buku saba na hao vijana wa CCM wa kileo kama Polepole ni mamluki.
 
Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.

1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787].
Makubwa

Odhis *
 
Back
Top Bottom