Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.
Huwa ninakuheshimu, kwasababu ya umri wako, lakini hiki ulichokia dika hapa hakina maana kabisaaa! unaletaje mambo ya Mbowe na Wachaga hapa? kuungua ni mambo binafisi! Kwani Mbowe alipenda augue? ustarabu unabitajika. mbona umekuwa mpumbavu kiasi hiki!? hekima yako kidogo imekuacha kabisa! njaa hatar!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.

Vipi hali yake?

Wachagga hamchelewi!
maandishi yako umeandika kama umepiga 4fingers ya kibanda umiza. tena umifanana na yule kijana wa JF CHABURUMA aka BASHITE
 
Huwa ninakuheshimu, kwasababu ya umri wako, lakini hiki ulichokia dika hapa hakina maana kabisaaa! unaletaje mambo ya Mbowe na Wachaga hapa? kuungua ni mambo binafisi! Kwani Mbowe alipenda augue? ustarabu unabitajika. mbona umekuwa mpumbavu kiasi hiki!? hekima yako kidogo imekuacha kabisa! njaa hatar!

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu FaizaFoxy hana tofauti na BASHITE kwasasa kapoteza mwelekeo. amesahau kuwa magonjwa kaumbiwa binaadam akidhani yeye ni tumbili au kima hayatamkuta
 
Ina maana hamjamuelewa Mh Rais alivyosema "WATUMISHI WA UMMA HAKUNA NYONGEZA YA MISHAHARA WALA NYONGEZA YA POSHO". Nyie si mnajiita "WATUMISHI WA UMMA" pia.

Hao "LUMUMBA BUKU 7" hua wanatetea hata mengine yasio ya kutetea, kufikia hatua wanaonekana wapumbavu, lakini wamo tu.

Cha kufurahisha zaidi, LB-7000 ni watu wazima wenye watoto na wajukuu zao majumbani.
Na pale lumumba lumumba wanashindikia mihogo na maji ya kandoro huku macho yakiwa mekunduu
 
maandishi yako umeandika kama umepiga 4fingers ya kibanda umiza. tena umifanana na yule kijana wa JF CHABURUMA aka BASHITE
Vipi Hali ya Mwenyekiti wa maisha, Mbowe,?

Anaendeleaje na Corona? Vipi na mwanae?

Ufipa kuna anaeingia kufanya kazi kipindi hiki?
 
Nimo humu tangu 2008. Kulikuwa na kina Lizaboni na yule mbeba box maarufu ulaya namsahau Sasa ana jina la watu wa mbeya , sijui hawa umri umepita au ndio hivyo mambo mengi. Walikuwa na uwezo mkubwa wa kupangua hoja kipindi hicho Kina Zito, dr Slaa na wengine wakubwa tuliwasoma humu. Kwa Sasa wakubwa wote wanapost na kutoweka au MTU anawaletea Uzi wao kutoka twita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamdenyi ,Chatudume,Chachuombara,Alexism wote wameingia mitini
 
Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF imebatizwa jina la Lumumba Buku Saba inafanya vyema kutetea kwa kila uwezo wao. Kiukweli, hakuna jambo ambalo linahusu Serikali hii au CCM ambalo halisifiwi nao. Always, Lumumba Buku Saba wanakufa na tai zao shingoni.

Malipo ya Timu yetu ya Mitandaoni yanaratibiwa na Idara yako ya Uenezi na Itikadi ya CCM iliyopo chini yako Ndugu Humprey Polepole, muasisi wa wazo la timu husika. Pamoja na malalamiko na maombi ya wanatimu kutaka malipo yapandishwe kutoka elfu saba hadi kumi kwa siku, malipo yao yaliyokwishapitishwa kichama ya elfu saba kwa siku yamekuwa yakilipwa. Wanatimu wanajituma pamoja na kuwa ni wachache tu kati yao ndiyo waliowezeshwa kwa kununuliwa simu, tablet na kompyuta.

Malipo ya wanatimu yamesimama kwa muda sasa. Baadhi ya wanatimu wamenza kususa kwa ama kutoandika chochote mitandaoni au kuandika bila jazba, mihemko, hasira na kwa kejeli kama walivyoagizwa. Sababu zinazotolewa kuhusu kuyumba kwa malipo ya wanatimu ni kutokana na ugonjwa wa Corona. Vijana wanataka kujua, Corona imeathirije malipo yao? Ndugu Polepole kumbuka kuwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tusiwaudhi wanatimu wa mtandaoni. Tuwallipe na kuwawezesha ili watusaidie.

Tuwe makini na ugonjwa wa Corona kwa kuchukua tahadhari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Aisee Leo ndo umewaumbua hasa hawa mambumbumbu wa CCM, yaani sh 7,000 per day na siyo per hour, ndo iliwafanya hawa mazezeta kutetea kila uchafu wa serikali na CCM, ndo maana baadhi yao wametoweka hatuwaoni humu Kama YEHODAYA, Lizaboni, Barbarosa na wengineo kumbe kisa ni Buku 7 imekata.
Ama kweli CCM ni kiwanda cha mataahira, it's better someone lacks money or lives without money than having no wits!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom