Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Tanzania hii kuna wezi na mafisadi zaidi ya wachagga?

Hivi Alex Masawe tuko wapi?
Kweli wewe mtu unashangilia wizi na ufisadi unaofanyika nchini? Kweli wewe unamjua Mola? Wewe unatakiwa kutubu kabisa, haiwezekana ushangilie maovu na ushetani
 
Kweli wewe mtu unashangilia wizi na ufisadi unaofanyika nchini? Kweli wewe unamjua Mola? Wewe unatakiwa kutubu kabisa, haiwezekana ushangilie maovu na ushetani
Tanzania hii kuna wezi na mafisadi zaidi ya wachagga?

Hivi Alex Masawe yuko wapi?
 
Tanzania hii kuna wezi na mafisadi zaidi ya wachagga?

Hivi Alex Masawe tuko wapi?
Endelea kushangilia Maovu ili kutafuta sifa za Kijinga na kujiaibisha bure! Umeuvua ubinadamu na kuungana na Shetani kuumiza raia wasio kuwa hatia
 
Kawe Alumni amesharudi kijijini kwao Hali imekuwa mbaya...
Hawa wajinga tunawaambia kilasiku wajitahidi kujitetea Kwa kufanya biashara lkn akili zao zimeegemea Kwenye kuwepa uteuzi.wengi wa vijana hawa wameshaolewa huku mtaani
Hata ukiangalia mambo wanayoandika humu na hoja wanazotoa bado hiyo buku saba ni nyingi Sana.

Wapewe angalau buku tano kwa siku ila wakati wa kampeni ndio wapewe buku Saba.
 
Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.

1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
Kuna zile sub..retired players. Sasa ni makocha wachezaji cc lizaboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huwa ni mpumbavu sana, halafu hujijui ulivyo mpumbavu, ugonjwa wa Mbowe unakuhusu nini wewe mdini mkubwa?
Kabudi anaumwa Korona mnaogopa kumtangaza mkidhani hamstahili kuugua.
Mada ni ya Lumumba Buku 7,halafu unakurupuka kusema ugonjwa wa mtu.
Hivi wewe ni mwanamke kweli mwenye mume, familia na watoto?
Na Kama una mume basi anaishi na moto.
You don't deserve to be a house wife other than a sinister spinster, una tabia za kijinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mjane mweusi ana ukimwi naona umefika kwenye ubongo wake, na aliyemuambukiza ni Chakubanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom