Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.

Vipi hali yake?

Wachagga hamchelewi!
we bado unamoyo bila hata ya bu7 ukotayari kupiga kazi kwa mkopo
 
Aisee......Makampuni yamesitisha ajira na mengine yamefungwa na mnajua kabisa Pesa za malipo zilitokana na kuchukua pesa hazina na kwa sasa hazina inatoa pesa kwa tahadhari sana Kutokana na janga hili LA korona kutofahamika litaishaje na litaisha lini!

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona bado anacheza Ufipa, Lumumba haujafika bado.

Mwenyekiti wa maisha, Mbowe, tunafahamu kaikimbia ofisi anaugulia Corona Dodoma.

Vipi hali yake?

Wachagga hamchelewi!
Wewe huwa ni mpumbavu sana, halafu hujijui ulivyo mpumbavu, ugonjwa wa Mbowe unakuhusu nini wewe mdini mkubwa?
Kabudi anaumwa Korona mnaogopa kumtangaza mkidhani hamstahili kuugua.
Mada ni ya Lumumba Buku 7,halafu unakurupuka kusema ugonjwa wa mtu.
Hivi wewe ni mwanamke kweli mwenye mume, familia na watoto?
Na Kama una mume basi anaishi na moto.
You don't deserve to be a house wife other than a sinister spinster, una tabia za kijinga sana.

FaizaFoxy said:

Ooh kumbe ni mgonjwa tayari. Qhsantenkwankutujuza. Poleni sana.

Bado yupo Dodoma au karudi Ufipa? (Thubutu).
 
Back
Top Bottom