Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF imebatizwa jina la Lumumba Buku Saba inafanya vyema kutetea kwa kila uwezo wao. Kiukweli, hakuna jambo ambalo linahusu Serikali hii au CCM ambalo halisifiwi nao. Always, Lumumba Buku Saba wanakufa na tai zao shingoni.

Malipo ya Timu yetu ya Mitandaoni yanaratibiwa na Idara yako ya Uenezi na Itikadi ya CCM iliyopo chini yako Ndugu Humprey Polepole, muasisi wa wazo la timu husika. Pamoja na malalamiko na maombi ya wanatimu kutaka malipo yapandishwe kutoka elfu saba hadi kumi kwa siku, malipo yao yaliyokwishapitishwa kichama ya elfu saba kwa siku yamekuwa yakilipwa. Wanatimu wanajituma pamoja na kuwa ni wachache tu kati yao ndiyo waliowezeshwa kwa kununuliwa simu, tablet na kompyuta.

Malipo ya wanatimu yamesimama kwa muda sasa. Baadhi ya wanatimu wamenza kususa kwa ama kutoandika chochote mitandaoni au kuandika bila jazba, mihemko, hasira na kwa kejeli kama walivyoagizwa. Sababu zinazotolewa kuhusu kuyumba kwa malipo ya wanatimu ni kutokana na ugonjwa wa Corona. Vijana wanataka kujua, Corona imeathirije malipo yao? Ndugu Polepole kumbuka kuwa huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tusiwaudhi wanatimu wa mtandaoni. Tuwallipe na kuwawezesha ili watusaidie.

Tuwe makini na ugonjwa wa Corona kwa kuchukua tahadhari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Una matatizo makubwa

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Nafahamu kuwa mwenyekiti wa maisha Mbowe anaumwa huo ugonjwa. Vipi hali yake?

Si ndio sababu ya kuikimbia Ufipa, umesahau?
Njaa inakusumbua chukua kitoweo hicho
1585638689416.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
misasa b7000 uchwara...nyie ndo nnayumbisha viongozi kwa kutetea maovu.haya sasa malipo yamesimamishwa mjiandae kubeba mapanga na mashoka kwa kuelekea msituni kwa ajili ya kujituma kufanya kazi za nguvu kama kukata mkaa,kulima n.k
Mirija ya buku saba imezibwa kwa sasa
 
Wakati hajapata uDC kisarawe alikuwa mratibu mkuu wa LB7. Alikuwa strict kila post na michango ya wanaLB7 jamvini anafuatilia hadi akijiridhisha ndio unalipwa buku saba.

Pia kulikuwa na vipakiti vya Korosho wanapewa kama motiveshen ukimtukana mbowe, chadema na wachaga

Jon
Ati na kale ka prost. Ka kisarawe nako ni DC ? Kakisimama kila kitu chake kinajulikana humu mitandaoni shabashiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba Buku 7 [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huwa ninakuheshimu, kwasababu ya umri wako, lakini hiki ulichokia dika hapa hakina maana kabisaaa! unaletaje mambo ya Mbowe na Wachaga hapa? kuungua ni mambo binafisi! Kwani Mbowe alipenda augue? ustarabu unabitajika. mbona umekuwa mpumbavu kiasi hiki!? hekima yako kidogo imekuacha kabisa! njaa hatar!

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini ni laana walizokuwa wanaliliwa na tz kwa muda mrefu.
They still have a long way to go

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati hajapata uDC kisarawe alikuwa mratibu mkuu wa LB7. Alikuwa strict kila post na michango ya wanaLB7 jamvini anafuatilia hadi akijiridhisha ndio unalipwa buku saba.

Pia kulikuwa na vipakiti vya Korosho wanapewa kama motiveshen ukimtukana mbowe, chadema na wachaga

Jon
Khaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom