Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Wakati hajapata uDC kisarawe alikuwa mratibu mkuu wa LB7. Alikuwa strict kila post na michango ya wanaLB7 jamvini anafuatilia hadi akijiridhisha ndio unalipwa buku saba.

Pia kulikuwa na vipakiti vya Korosho wanapewa kama motiveshen ukimtukana mbowe, chadema na wachaga

Jon
 
Kwa taarifa ni kwamba kikosi hiko kinaundwa na list hii.

1. Magonjwa mtambuka (goalkeeper)
2. No retreat no salender ( beki).
3.Stroke (beki) .
4.Laki si pesa (beki)
5. Mudawote (mkoba).
6.kawe alumni (kiungo)
7.Digna sowey (wings teleza).
8.Boniphace Kichonge (mchezeshaji).
9.Nyani Ngabu (forward).
10.Johnthebaptist (Captain)
11.KARO MWILAPWA (winga ya kushoto)
 
Hapa walikuwa wanagombea mgao
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea paschal Mayalla kocha
 
Kweli njaa mbaya! Mtu anauza utu kwa korosho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimo humu tangu 2008. Kulikuwa na kina Lizaboni na yule mbeba box maarufu ulaya namsahau Sasa ana jina la watu wa mbeya , sijui hawa umri umepita au ndio hivyo mambo mengi. Walikuwa na uwezo mkubwa wa kupangua hoja kipindi hicho Kina Zito, dr Slaa na wengine wakubwa tuliwasoma humu. Kwa Sasa wakubwa wote wanapost na kutoweka au MTU anawaletea Uzi wao kutoka twita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


FUTENI NA HUKU.... SHWAIN...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…