Idiot!Kama hii mchezo yenu na Usanii husio na tija ndio shida za Watanzania kwa kweli tutawapa nchii
Aisee.Yote sawa tu, hata ninyi mnamtukana, kumdhalilisha na kumdhihaki Raisi Magufuli kila siku hapa na hakuna kitu kinawapata, kuna wengine hadi wanatukana matusi ya nguoni lkn wanadunda tu, mpaka hata mlimzushia kifo lkn yote ni sawa tu, hivyo ni sawa pia na Ayo kufanya anavyotaka kwani ni Mtandao wake na hajakulazimisha kuutembelea.
Hahah yule wa Iringa aliyepost RIP Dr.Salim baadae akaomba msamaha eti alipotoshwa,naona amepunguza kidogo wenge siku hizi..... huyu mtu Sabaya anaongoza kwa sasa kuwa mkuu wa wilaya mwenye kiherehere kupita wote, huku nafasi ya pili ikishikiliwa na yule wa arumeru, na ya tatu inakwenda kwa yule wa iringa.
Yote sawa tu, hata ninyi mnamtukana, kumdhalilisha na kumdhihaki Raisi Magufuli kila siku hapa na hakuna kitu kinawapata, kuna wengine hadi wanatukana matusi ya nguoni lkn wanadunda tu, mpaka hata mlimzushia kifo lkn yote ni sawa tu, hivyo ni sawa pia na Ayo kufanya anavyotaka kwani ni Mtandao wake na hajakulazimisha kuutembelea.
Hayo ulosema ni sawa kabisa ni mtandao wake kwa hiyo autumie mwenyewe sisi tumejitoa
ThanksIdiot!
Sawa asubiri mavuno. Kwani rais wako amemalizia ziara zake?
Hivi huoni voda wanauza line yao tsh 200 , hukuwauliza imekuwaje ?Erythrocyte,
hivi mgomo wa laini za voda na kususia nyimbo za Nasibu iliishia wapi?team kususa na kununa bila madhara.
Chadema mnahimiza demokrasia ambayo haimo kwenye chama chenu. Yaani mwanachama wenu anatoa maoni yake, eti kafika bei. Yaani ninyi Mbowe ni kama msahafu. Hapingwi!AMEFIKA BEI!
Sisi tunamfahamu toka anazaliwa. Mmemuingiza chaka. Huku rchuga kesha jinyea.Ayo katoka mbali!
Sisi tunamfahamu toka anazaliwa. Mmemuingiza chaka. Huku rchuga kesha jinyea.
Sawa sasa asikanyage Chuga maana mambo yake yamebandikwa kwenye kuta za matangazo mitaani.Ayo nafikiri kafanikiwa Dar na siyo Chuga.
lema ni kilema Wa akili
Weka picha akiwa amezungukwa na Wandishi wa Habari wakimhoji.KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amedai kuwa Chama hakikutenda haki kwani waliogombea walikuwa ni wanachama wa ngazi za chini, ambao wengi walijipanga na walitarajia kushinda, ambapo halmashauri kuu ilifanya uamuzi bila kuwashirikisha kinyuma na misingi ya chama(CHAMA CHA DEMOKRASIA).
Ameendelea kudai kuwa anapigiwa simu na watu wengi wakihoji kwanini wamedhulimiwa haki yao ya kugombea ilihali wamejijenga miaka mitano kuja kufanya kazi, lakini chama kimewaengua.
Amemalizia kwa kutupia lawama zake kwa kamati kuu na kuwaomba kutengua uamuzi wake na kuwaruhusu warudi kugombea na kushindana na CCM.