Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

kiongozi wangu Humfrey pole kwa yaliokukuta na nisamehee sana, jana nilipopata taarifa za kile ulichoongea kutokukubaliana na chama kuhusu kujitoa kwenye haya mauaji ya chaguzi zinazo pangwa IKULU, nilichukizwa sana na nikatumia maneno makali kidogo humu JF.
Ni samehe KAMANDA.

Nakipenda chama changu CHADEMA mno.
Anaetaka kuunga juhudi ”ruksa” aende ila asitumike kutuvuruga. 💪🏾💪🏾💪🏾✌🏾✌🏾✌🏾

Ukweli ni kwamba kwa pamoja tumeifikisha mwisho CCM. Na kwa pamoja tutaifuta CCM ya Magufuli ndani ya mipaka ya Tanganyika na Zanzibar.
CCM ya Magufuli imekua genge la kigaidi linapanga UGAIDI IKULU. Ni lazima tuifute kabisa kabisa.
 
Yote sawa tu, hata ninyi mnamtukana, kumdhalilisha na kumdhihaki Raisi Magufuli kila siku hapa na hakuna kitu kinawapata, kuna wengine hadi wanatukana matusi ya nguoni lkn wanadunda tu, mpaka hata mlimzushia kifo lkn yote ni sawa tu, hivyo ni sawa pia na Ayo kufanya anavyotaka kwani ni Mtandao wake na hajakulazimisha kuutembelea.
Aisee.
here-ithink-you-dropped-this-39628760.jpeg
 
.... huyu mtu Sabaya anaongoza kwa sasa kuwa mkuu wa wilaya mwenye kiherehere kupita wote, huku nafasi ya pili ikishikiliwa na yule wa arumeru, na ya tatu inakwenda kwa yule wa iringa.
Hahah yule wa Iringa aliyepost RIP Dr.Salim baadae akaomba msamaha eti alipotoshwa,naona amepunguza kidogo wenge siku hizi.
 
Yote sawa tu, hata ninyi mnamtukana, kumdhalilisha na kumdhihaki Raisi Magufuli kila siku hapa na hakuna kitu kinawapata, kuna wengine hadi wanatukana matusi ya nguoni lkn wanadunda tu, mpaka hata mlimzushia kifo lkn yote ni sawa tu, hivyo ni sawa pia na Ayo kufanya anavyotaka kwani ni Mtandao wake na hajakulazimisha kuutembelea.

Hayo ulosema ni sawa kabisa ni mtandao wake kwa hiyo autumie mwenyewe sisi tumejitoa
 
UPDATES;
Lema akaamua kumpigia Ole Sabaya DC Hai kuhusu suala hilo na hebu pimeni maongezi ya mtu anayeitwa mteule wa Rais na mwakilishi wake wilayani ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Hakika Magufuli katuweza sana, anatupa wawakilishi wake WAHUNI kama Sabaya?
 
Hayo ulosema ni sawa kabisa ni mtandao wake kwa hiyo autumie mwenyewe sisi tumejitoa


Jitoe, wewe siyo wa kwanza, wengine wanaingia, unajua Ayo alikotoka hadi aje kutishwa leo hii na Mr. Nobody kama wewe?
 
Mbele ya DC wa ccm...!!!! What else should we expect. Wampe utendaji ktk kijiji chochote hapo kwani inaonekana huyo anaunga mkono juhudi.
 
Mkuu wa polisi Hai ana kazi kweli. Kila mara anaagizwa tu.
Atakuwa na wakati mgumu hata kama anapenda
 
KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.

Amedai kuwa Chama hakikutenda haki kwani waliogombea walikuwa ni wanachama wa ngazi za chini, ambao wengi walijipanga na walitarajia kushinda, ambapo halmashauri kuu ilifanya uamuzi bila kuwashirikisha kinyuma na misingi ya chama(CHAMA CHA DEMOKRASIA).

Ameendelea kudai kuwa anapigiwa simu na watu wengi wakihoji kwanini wamedhulimiwa haki yao ya kugombea ilihali wamejijenga miaka mitano kuja kufanya kazi, lakini chama kimewaengua.

Amemalizia kwa kutupia lawama zake kwa kamati kuu na kuwaomba kutengua uamuzi wake na kuwaruhusu warudi kugombea na kushindana na CCM.
Weka picha akiwa amezungukwa na Wandishi wa Habari wakimhoji.
 
Kwa mujibu wa Millardayo kwenye Ukurasa wake wa Twitter amesema wanasikitika kwa Kitendo kilichofanywa na waandishi wa Ayotv ya kupublish taarifa kwenye Youtube bila kuafuata utaratibu wa kuhaririwa, amesema waandishi hao ambao hakuwataja majina wameachishwa kazi kuanzia leo.
IMG_20191114_163217.jpeg
 
Back
Top Bottom