Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia inaenda kasi sana, hebu nijuze wamefanyaje? Maana Mimi huko YouTube so mtembezi kabisa.Hao waandishi angewataja na majina kabisa, kwa jinsi ninavyoijua serikali yetu anaweza akaambiwa awarudishe kwa lazima hao waandishi kama kweli amewafukuza.
University of street.Hivi Millard na hao waandishi wake wamesome chuo gani huo uandishi wa habari?Hii inamaanisha hawajui Ethics za Journalism.
Kwahiyo Musiba atakuwa anavuta pesa nzuri kwenye mradi huu wa maji taka?Dogo mjinga sana! Anatumika vibaya. Hio radhi ni ujinga mtupu
Kwani kafanyaje!?Jamaa ashakuwa mjingamjinga tu
Bila shaka hii ni kazi ya yule jamaa wa headlinesKATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amedai kuwa Chama hakikutenda haki kwani waliogombea walikuwa ni wanachama wa ngazi za chini, ambao wengi walijipanga na walitarajia kushinda, ambapo halmashauri kuu ilifanya uamuzi bila kuwashirikisha kinyuma na misingi ya chama(CHAMA CHA DEMOKRASIA).
Ameendelea kudai kuwa anapigiwa simu na watu wengi wakihoji kwanini wamedhulimiwa haki yao ya kugombea ilihali wamejijenga miaka mitano kuja kufanya kazi, lakini chama kimewaengua.
Amemalizia kwa kutupia lawama zake kwa kamati kuu na kuwaomba kutengua uamuzi wake na kuwaruhusu warudi kugombea na kushindana na CCM.
upo vizuri mkuu , wanamuharibia zaidi JPM na CCM.KEY WORDS "Wamefika mwisho ndiyo wanafanya haya mambo..."