Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Hao waandishi angewataja na majina kabisa, kwa jinsi ninavyoijua serikali yetu anaweza akaambiwa awarudishe kwa lazima hao waandishi kama kweli amewafukuza.
 
Ningeshangaa sana kwa jinsi ninavyo mwamini Millard kama angekaa kimya.

Tusi Mjaji moja kwa moja media yake hayupo mwenyewe so hawezi ku control kila kitu kwa wakati mistake ni sehemu ya kujifunza ila inaonekana wamepewa rushwa wale waandishi.
 
Hivi Millard na hao waandishi wake wamesome chuo gani huo uandishi wa habari?Hii inamaanisha hawajui Ethics za Journalism.
 
Hiki Kiblog kinatumika na wachumia tumbo wengi wa CCM. Kuna siku mkuu wa wilaya moja mkoani Rukwa aliamuru askari wa JKT kupiga wananchi waliokuwa mnadani kijijini kwao kwa madai kuwa wana tabia ya kutotii kutohudhuria mikutano yake hasa kunapokuwa na mnada. Baada ya kuandikwa kwenye mitandao na baadhi ya wananchi kujitokeza, akakimbilia Millard Ayo kujisafisha naye bila kuhoji waliopigwa akatumika kukandamiza wananchi.
 
Umetengeneza kiki halafu unaomba msamaha? CHADEMA ni taasisi kubwa sio chama cha u..tube why unacchezea hisia za watu? Pumbavu kabisa, hivi viandishi vya kuokoteza ndio vinaleta habari za kuokoteza kuna siku utaingia mkenge utalipa mpaka ufilisike.
 
Siku hizi Millard kawa mkereketwa wa chama fulan simfatiliag tena
 
Kama ana -date na na kidoti unategemea nini
 
KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.

Amedai kuwa Chama hakikutenda haki kwani waliogombea walikuwa ni wanachama wa ngazi za chini, ambao wengi walijipanga na walitarajia kushinda, ambapo halmashauri kuu ilifanya uamuzi bila kuwashirikisha kinyuma na misingi ya chama(CHAMA CHA DEMOKRASIA).

Ameendelea kudai kuwa anapigiwa simu na watu wengi wakihoji kwanini wamedhulimiwa haki yao ya kugombea ilihali wamejijenga miaka mitano kuja kufanya kazi, lakini chama kimewaengua.

Amemalizia kwa kutupia lawama zake kwa kamati kuu na kuwaomba kutengua uamuzi wake na kuwaruhusu warudi kugombea na kushindana na CCM.
Bila shaka hii ni kazi ya yule jamaa wa headlines
 
Yule DC Wa hao yule mmasai anaongoza kikosi cha kuteka RAIA kule hai.....
 
Back
Top Bottom