ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mapumzikoni Brunei,sikutaka ghasia kabisa 🤣🤣Ulikuwa wapi mkuu kimya sana japo watu wasiulizane sana!
Am back kulijenga Taifa# Samia 5 tena 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapumzikoni Brunei,sikutaka ghasia kabisa 🤣🤣Ulikuwa wapi mkuu kimya sana japo watu wasiulizane sana!
Ipo kwenye life expectancy yetu, ingekuwa majuu ambao wanaishi miaka mingi hapo angalau tungesema hivyoMiaka michache sana hiyo aisee na inaumiza mnoooo
Safii kama umerudi salama ,kuna anaitwa mmawia akisikia brunei anakufa huko aliko!Mapumzikoni Brunei,sikutaka ghasia kabisa 🤣🤣
Am back kulijenga Taifa# Samia 5 tena 😆😆
Life expectancy yetu Kwa Sasa ni 67 years Mzee,huko tumeshatokaIpo kwenye life expectancy yetu, ingekuwa majuu ambao wanaishi miaka mingi hapo angalau tungesema hivyo
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ‘‡ðŸ‘‡Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mijohororoni mkoani humo.
Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo
======
Dkt. Tixon Tuyangine Nzunda alikuwa katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, nafasi aliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu na kuapishwa 19 Machi, 2023.
Nzunda alizaliwa January 29, 1968 na ameacha mke na watoto wanne. Aliajiriwa na Serikali mwaka 1992 kama afisa msaidizi wa elimu daraja la tatu na tangu hapo ameshika nafasi kadhaa ikiwemo katibu mkuu msaidizi utumishi, katibu tawala mkoa wa Rukwa na naibu katibu mkuu Serikali za mitaa.
Picha kutoka Maktaba.
View attachment 3020020
Lc 300 imeondoka na boss wake.High speed
Ulikutana na The Sunk Cost Fallacy 2 huko Brunei?🤣Mapumzikoni Brunei,sikutaka ghasia kabisa 🤣🤣
Am back kulijenga Taifa# Samia 5 tena 😆😆
Mwakani uchaguzi mkuu usikute alionyesha nia kugombea mwenye jimbo lake akaamua kujiongeza mapema.Huko serikalini ajali nyingi sana.
Ni kulogana au uzembe wa madereva??
Pole kwa wafiwa.
Hapana Mkuu,ndio nani huyo Jamaa 😆😆Ulikutana na The Sunk Cost Fallacy 2 huko Brunei?🤣
Hawa Wana dharau sana high wayWazee wa STK ,STM
Akija atajitambulisha utamfahamu🤣Hapana Mkuu,ndio nani huyo Jamaa 😆😆