Namshangaa BasheNjia yetu ni moja. Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho. Kuna siku ya kuzaliwa na kuna siku ya kufa. Tulizaliwa tu uchi, tukiwa hatuna kitu chochote. Na tena tunaondoka duniani bila kitu chochote. Tumeche Mungu sana tungali hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshangaa BasheNjia yetu ni moja. Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho. Kuna siku ya kuzaliwa na kuna siku ya kufa. Tulizaliwa tu uchi, tukiwa hatuna kitu chochote. Na tena tunaondoka duniani bila kitu chochote. Tumeche Mungu sana tungali hai
Mlozi wao mkubwa ni 'mwendo kasi'Huko serikalini ajali nyingi sana.
Ni kulogana au uzembe wa madereva??
Pole kwa wafiwa.
ndugu kulikuwa kuna ulazima gani wa kutaja roho mtakatifu katika huo uchafu?!.Makanyaga!
Pepo limeanza sasa!!
Yule alielawiti atakua roho mtakatifu au!!?
Na huyu je!!?
Rip
Mhusika anajua maanaa yake !!ndugu kulikuwa kuna ulazima gani wa kutaja roho mtakatifu katika huo uchafu?!.
Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mijohororoni mkoani humo.
Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo
======
Dkt. Tixon Tuyangine Nzunda alikuwa katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, nafasi aliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu na kuapishwa 19 Machi, 2023.
Nzunda alizaliwa January 29, 1968 na ameacha mke na watoto wanne. Aliajiriwa na Serikali mwaka 1992 kama afisa msaidizi wa elimu daraja la tatu na tangu hapo ameshika nafasi kadhaa ikiwemo katibu mkuu msaidizi utumishi, katibu tawala mkoa wa Rukwa na naibu katibu mkuu Serikali za mitaa.
Picha kutoka Maktaba.
View attachment 3020020
Tukamzike na ukifika huko tutafutane 😆😆,he was my village mateNzunda wa nyumbani kabisa.
TUYANGINE = TUMESEMA
R.I.P mzee wetu.
Hee bwana ChoiceVariable kumbe wa nyumbani.Tukamzike na ukifika huko tutafutane 😆😆,he was my village mate
Baba yangu kamfundisha shule ya msingi huyo bwana Nzunda,kwao ni Tunduma(Mtaa wa Msinde) ila sijui watamzika Kwao au Dar nyumbani kwakeHee bwana ChoiceVariable kumbe wa nyumbani.
Miaka 56 ni Ujana?Hii dunia sio rafiki,pale unapokaa nakujisemea huu ndo muda wa kula matunda ya jasho langu hapo hapo na izrael naye anakuwinda ,ni bora kutokuzaliwa kuliko kufa katika umri wa ujana
Nzunda wa nyumbani kabisa.
TUYANGINE = TUMESEMA
R.I.P mzee wetu.
Bwana Lucas Mwashambwa msiba mkubwa umetupata
Miaka michache sana hiyo aisee na inaumiza mnooooMiaka 56 ni Ujana?