TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.

Jeswald.JPG
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake

549CBE84-ED44-4FE8-BF61-1F50E3202167.jpeg

PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye majukumu ya kikazi enzi za uhai wake
 
Kwenye hiyo picture wote isipokuwa JPM wamekufa. Ewe mwenyezi Mungu wajalie pepo njema na utupe afya njema wote tulio hai siku ya leo ili tuendelee kukuabudu wewe. Amen.
💃🕺💃🕺🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️
 
Duh! Ina maana hili likirusi la Korona linakaa mwilini muda mrefu hivyo kwa maelezo ya hiyo picha? Mbona hatari!
 
Back
Top Bottom